Hatua/stage gani utatafuta msaada katika tatizo la ukichaa?

Hatua/stage gani utatafuta msaada katika tatizo la ukichaa?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Bado naendelea kutafuta mambo ya vichaa/wenye matatizo ya akili na ndugu zao

Leo ningependa kujua kutoka kwa wanajamii wote au watu specific waliowahi kuuguza mtu mwenye kichaa...

Unadhani utaona imefikia hali gani ya mgonjwa ndio utatafuta msaada?

Msaada huo utautafuta wapi? kwa wachungaji/Mashekhe ?, Kwa waganga ???, ama Hospitali zinazotibu magonjwa hayo?

Karibuni.
 
Msaada utatafutwa akishachoma moto nyumba ya familia, ndio wana familia akili zitawakaa sawa na kujua kweli msaada unahitajika.
 
Mkuu acha utani basi... 😕
Mkuu, siwezi kukuletea utani, ila swali lako kwa jinsi nilivyolipokea halina tofauti na;

Mfano, Kiongozi mwenye tatizo "PYSCHOLOGICAL" halafu akakabidhiwa madaraka ya kulevya, mpaka atakapolichoma moto taifa na kuliangamiza, ndio watu watakumbuka kuomba msaada.

I stand to be forgived Rebeca 83 [emoji122]
 
Back
Top Bottom