Msaada napata maumivu makali ya shingo na bega

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Habari wakuu,

Straight to the point tangu jana nilikua napata maumivu makali sana kwenye maeneo yashingo/ bega la kushoto. Nilihisi labda pengine nililala vibaya nikaamini maumivu yatakata.

Lakini ilipofika usiku wa jana maumivu yakawa makali mpaka nikameza paraceramol ndio nikalala mpaka asubuhi. Sasa hivi yamenianza tena wakuu, yananitesa sana.

Naomba msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo kama haya ya maumivu tuu mkuu hayawez kuoanisha kupata ugonjwa moja kwa moja kwamba uambiwe kwamba ni tatizo fulan , apana kikubwa amka nenda Hospital kafanya vipimo mkuu ,
Kuna kipind nam ilinitokea nkawaza sana nkafikia atua ya kupima syphilis na HIV aisee ila kuuumbe ilikuaga ni hypochondriac disorder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom