Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani wale wenye uzoefu mnielekeze nifanye ili mke wangu ajifungue salama pasipo kumpa maambukizo mtoto aliyeko tumboni wakati wa kujifungua? UPDATE Mrejesho mke wangu mwenye HIV + amejifungua...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Alcohol gel au sanitizer ni kimiminika chenye pombe chenye uwezo wa kuua bacteria na pathogens ambao wangeweza kuleta madhara mwilini. Ni rahisi kuibebea na unaweza kuitumia mahali popote...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mtu mwenye uhitaji wa figo. Anichek kupitia brcbrwn@yahoo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini wana jamii forum, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni...
1 Reactions
37 Replies
19K Views
Siku hizi vijana wengi wana tatizo la mgongo kupinda kwajuu kidogo ya shingo (kibyongo) nini tatizo? na nini kifanyike ili kuondoa tatizo? Nina jamaa yangu mmoja mrefu yeye mgongo umepinda...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mwanangu anatokwa na vipele vidogo vidogo mwili mzima. Vinamuwasha sana. Nahisi kuna kitu anakula ambacho kinampa allergies. Msaada wa hospitali nimpeleke tukajue tatizo Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wandugu, Nina mtoto wa miaka minne juzi alipotoka shule alipata chakula cha mchana then akalala, alipoamka akawa analalamika kichwa na tumbo vinamuuma. Nilimpa Panadol then tukalala sasa...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Maybe I need to reintroduce myself with this absolutely gorgeous photo of us! Majority of you have seen our two pretty girls and now son! So I will just introduce you to us and not the kids per...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiumwa na maradhi ya kichwa katikati ya utosi ni dalili inayo onyesha kuwa unahtaji unywe maji ya kutosha na chakula. Chenye afya. Ukiumwa na kichwa kwa mbele inaonyesha unahitaji upate usingizi...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wataalam! Naomba kufahamu tatizo ambalo nimeliona kwa watoto wangu wakiwa wachanga. Mtoto huwa analia sana hasa usiku akionesha tumbo kufinyafinya. Sasa watu wanasema ni chango! Je...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kadri hatari ya Corona inavyozidi kuongezeka inatubidi kutafuta kila taarifa za kitaalamu kujua namna sahihi tunavyoweza kujikinga Binafsi kuanzia siku ya leo nimeshuhudia watu wameanza kutumia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni...
3 Reactions
248 Replies
43K Views
Hellow Nimeona huko watu wanafarijiana ohh kama wewe ni HIV + na unatumia ARV basi hupati corona Yani tufatishe vile tunaelekezwa na wizara ya afya Kuna wenye HIV na wanameza ARV na bado kinga...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
sALAAM, Ukiangalia miongoni mwa njia za kujikinga dhidi ya corona virus ipo njia ya kusimama mita moja ili kuongea (Maana Inatakiwa kila mmoja ajione ameshaambukizwa). Kwa msingi huo: Tunaweza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna tatizo nililipata na kuligundua jana, baada ya kuona vipele vidogo kuzunguka kichwa cha umme; vikiwa havina usaha wala muwasho au maumivu. Sababu kuu iliyopelekea hivi nahisi ni jambo...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
MUHIMU KUHUSU COVID-19 (CORONA) Najaribu tafakari mengi juu ya hili janga la kitaifa ili hali tu wakuu wa vitengo hawjalitamka kwamba ni la kitaifa anyway tujaribu changanua baadhi ya mambo hapa...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Kemikali zenye madhara zilizo kwenye sigara Ufutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada nafwa mwenzenu kwenye uume kunatoka usaha mzito km utomvu ila sometimes dudu linawasha ila ninachoshangaa uchafu huu hutoka pale tuu ninapojimwagia maji ya baridiii wakati wa...
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Jamani nina shida mtoto wangu anatumbo kubwa kiasi kupita kawaida lakini nimejaribu kuchunguza nimeona sio wa kwangu tu hata watoto wa jirani. Je, ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini. Nawasilisha
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Back
Top Bottom