Fahamu uzuri na ubaya wa hand sanitizer

Fahamu uzuri na ubaya wa hand sanitizer

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,439
1584605511934.jpeg


Alcohol gel au sanitizer ni kimiminika chenye pombe chenye uwezo wa kuua bacteria na pathogens ambao wangeweza kuleta madhara mwilini.

Ni rahisi kuibebea na unaweza kuitumia mahali popote. Wataalamu wanasema inaua%99.9 ya bacteria kwenye mikono yako. Pia huhitaji taulo la kujikausha baada ya kunawa, inakauka yenyewe.

Alcohol gel haina uwezo wa kuua C-diff. Bacteria wasababishao tumbo la kuharisha. Hawa hawasikii kitu kwa alcohol gel. Kwakua ni aerobic bacteria.

BACKGROUND: Alcohol-based hand rubs (ABHRs) are an effective means of decreasing the transmission of bacterial pathogens. Alcohol is not effective against Clostridium difficile spores.

METHODS: Nontoxigenic C. difficile spores were spread on the bare palms of 10 volunteers.

Inakausha ngozi, kwa matumizi ya muda mrefu utaona ngozi ya mikono ina kauka haraka na kupotea mvuto.

Ukipata nafasi nawa na maji na sabuni na kupaka lotion kwenye mikono.
 
Matumizi ya sanitizer mala nyingi nikwa eneo ambalo umeshindwa kupata bomba la maji ya kunawia.
lakin kana lipo kuna na sabuni inatosha sana.
Ninaunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom