hiv positive living
Senior Member
- Jan 6, 2020
- 153
- 218
Hellow
Nimeona huko watu wanafarijiana ohh kama wewe ni HIV + na unatumia ARV basi hupati corona
Yani tufatishe vile tunaelekezwa na wizara ya afya
Kuna wenye HIV na wanameza ARV na bado kinga zipo chini mnoo
Na kuna ambao ni HIV+ na hawatumii ARV na bado kinga zipo juu sasa sioni sababu ya kujihakikishia lolote juu ya afya zetu bila kuchukua tajadhari ya huu ugonjwa
Kikubwa pia tujitahidi kula lishe elekezi mf.vitamic C kwa wingi (matunda,supplements n.k)
Pia tangawizi na vitunguu swaumu kwa wingi
Nimeona pia ndizi mbivu ikizungumziwa
Mwisho kabisa, tusisahau kusali sana hili janga lituepuke mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app