Dawa ya kuondoa sumu mwilini

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,650
habarini wana jamii forum,
ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni malaria,sipingani na hilk lakini ukweli usiopingika ni kwamba watanzania wengi wanakufa kutokana na matatizo ya sumu mwilini

NINI HASA KIINI CHA TATIZO HILI

Kiini kikubwa cha kuwa na sumu nyingi mwilini ni mfumo halisi wa maisha ya kiafrika ambayo tunaishi kuanzia kula,kuvaa na hata kulala yetu,Tunakula vyakula vingi mno ambavyo vinatujazia sumu kwenye miili yetu kila siku ya mungu, pamoja na vinywaji kama soda,bia na hata na vingine vingi,pamoja na hata madawa ya mahospitalini ambayo hutibu moja na kutengeneza mengine mengi

DALILI ZA SUMU NYINGI MWILINI

watu wengi hujiona wazima hali ya kuwa wanatembea na magonjwa mazito zaidi hata ya ukimwi,wagonjwa wenye tatizo hili la sumu mwilini husumbuliwa na matatizo yafuatayo
1;kuumwa chini ya kitovu
2;bawasili
3;vitambi hata kama atakula mara 1 kwa siku
4;tumbo kuwa gumu
5;tatizo la nguvu za kiume
6;Kukosa kabisa hamu ya kula
7;kukosa hamu ya tendo ndoa
8:Tumbo kuuma chini ya kitovu
9;mvurugiko wa hedhi
10;kuharibika kwa mimba mara kwa mara
na nyingine nyingi.
Ninyofuraha kuwaambia kuwa tiba imepatikana na imeshawasaidia wengi mpka sasa tiba yetu ni ta asili ambayo utaitumia kwa siku moja tu nikiwa na maana utaitumia kwa mara moja
Tiba yetu inapatikana kwa gharama ya shilingi elfu 20 tu kwa wateja wanaotoka jamii forum pekee na elf 35 kwa wateja wasio wana jamii forum
tunapatikana dar es salaam kipunguni,na kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa njia ya mabasi au maboti
mawasiliano 062395e036 au 0659756647 karibuni
kwa maswali au ushauri usiaite kukoment
 
Sumu gani unaongelea wewe?
Emu zitaje majina...maana sumu kama Ammonia hutolewa nje na figo kupitia kwenye mkojo!
Binadamu kamili viungo vyake mwenyewe vinatosha kufanya excretion ya end products of metabolism!

Na ukitaka kuelewa watu wenye sumu mwili tafuta mtu alokufa figo au ini!
 
Mbona nyoka sumu yake anaitoa mwenyewe bila dawa?
 
Sumu gani unaongelea wewe?
Emu zitaje majina...maana sumu kama Ammonia hutolewa nje na figo kupitia kwenye mkojo!
Binadamu kamili viungo vyake mwenyewe vinatosha kufanya excretion ya end products of metabolism!

Na ukitaka kuelewa watu wenye sumu mwili tafuta mtu alokufa figo au ini!
unaweza kujiona uko sahihi but swali lako ilibidi aulize mtoto wa form 1 but syo mbaya unaweza kuwa na wewe ni mmoja wapo,
kuhusu sumu ni kwamba binadamu anakula vyakula vingi vyenye sumu,sumu ambazo hutokana na kemikali mbali mbali zinazotokana na vyakula,kemikali ambazo huwekwa kwenye vyakula mahususi kwa ajili ya kuua wadudu na hata kwa ajili ya kuvifanya vikae kwa muda mrefu ili visiharibike.sasa kwa siku mtu anaweza kula na kunywa vyakula vya aina hii zaidi ya mara 7 kwa siku kwa vyakula vyenye kemikali tofauti tofauti hvyo zile kemikali ambazo anazitumia kwenye vyakula zinaenda kuungana na kutengeneza sumu nyingine ambazo huwa zinaua mwili taratibu,ndo maana kuna mtu utakuta aliumwa toka miaka 10 iliyopita na mwengine kila week anaumwa yote sababu ya hilo.
Mwisho ndugu naomba nikujulishe kuwa figo huwa haifi haraka kama hivyo unavyodhania,huwa inakufa poleploe mno na sumu zinapoingia mwilini huwa haziathiri figo pekee bali mfumo mzima wa mwili hvyo hata figo ikiwa inafnya kazi ya kupmbana na sumu bdo kuna sehemu zitaathirika.
mwisho kumbuka kwamba figo haikai mdomoni kwa maana sumu ikifika tu iingie direct
 
Haina madhara hiyo dawa baada ya kuitumia maana mfano zingine ukitumia unaharisha sana au kutapika saana na mengineyo.
 
nyumba yangu inavuja unanishauri ninunue mwavuli na rainboot kwaajili ya kujikinga na mvua hiyo kweli? hebu jaribu tafuta namna ya kuwasaidia watu kuondokana na hizo sumu maana hata ukiwauzia dawa na wapo kwenye mfumo uleule si bado watapata tena sumu? au ndo yale maswala yakuombeana watu wafe ili tuuze majeneza?
 
Nakunywa maji lita saba kila siku huo uchafu kwenye mwili utatokea wapi mkuu
 
1. Mmelipia hilo tangazo la biashara?
2. Dawa nzuri kabisa ya kuondoa sumu mwilini (ku-detox), kama ni sumu za kawaida, ni kunywa maji mengi. Maji yanaondoa sumu mwilini haraka sana na kwa usalama.
Kama ni sumu zinazoua haraka, basi nenda hospital.
 
nyumba yangu inavuja unanishauri ninunue mwavuli na rainboot kwaajili ya kujikinga na mvua hiyo kweli? hebu jaribu tafuta namna ya kuwasaidia watu kuondokana na hizo sumu maana hata ukiwauzia dawa na wapo kwenye mfumo uleule si bado watapata tena sumu? au ndo yale maswala yakuombeana watu wafe ili tuuze majeneza?
mkuu nakuelewa sana na siye pia tunafanyia kwa gharama za kusaidia ndo maana tumeweka bei ndogo ili tusaidie wenzetu,na siyo bei ya kujinufaisha
 
1. Mmelipia hilo tangazo la biashara?
2. Dawa nzuri kabisa ya kuondoa sumu mwilini (ku-detox), kama ni sumu za kawaida, ni kunywa maji mengi. Maji yanaondoa sumu mwilini haraka sana na kwa usalama.
Kama ni sumu zinazoua haraka, basi nenda hospital.
mkuu tatizo la sumu mwilini,ambalo liameshaanza kuonyesha dalili huwa ni ngumu kutibika kwa maji,au dawa za hospitalini hasa kama hufati masharti yake nikiwa na maana gani.dawa za mahospitalini huwekwa kemikali maalum ili ziweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika na ndio maana unaambiwa unapokunywa dawa za hospital unywe maji mengi sana ili kupunguza ile sumu ya dawa za hospitalini.Hivyo wengi badala ya kutibu tatizo huwa ndo wanalizidisha mpka kupelekea figo kufeli na mengine mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom