Anayejua hospitali nzuri ya kupima "Allergies" hapa Dar anijuze

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,446
2,000
Mwanangu anatokwa na vipele vidogo vidogo mwili mzima.

Vinamuwasha sana.

Nahisi kuna kitu anakula ambacho kinampa allergies.

Msaada wa hospitali nimpeleke tukajue tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom