Swali: kwanini vijana wengi siku hizi wana vibyongo??(mgongo kupinda)

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,150
22,523
Siku hizi vijana wengi wana tatizo la mgongo kupinda kwajuu kidogo ya shingo (kibyongo) nini tatizo? na nini kifanyike ili kuondoa tatizo?

Nina jamaa yangu mmoja mrefu yeye mgongo umepinda kabisa yaani anatembea Kama vile anaangalia chini!
 
Kutembea ukiwa umeinamisha kichwa kwa muda mrefu inaweza kuchangia tatizo la kibyongo hususani kwa vijana warefu. Solution ni kutembea straight forward na kuepuka kutembea ukiwa umetazama chini kila wakati
 
Back
Top Bottom