Dawa ya Mafua ni Vitamin C

mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
281
500
sALAAM,

Ukiangalia miongoni mwa njia za kujikinga dhidi ya corona virus ipo njia ya kusimama mita moja ili kuongea (Maana Inatakiwa kila mmoja ajione ameshaambukizwa).

Kwa msingi huo: Tunaweza kusema -

*Wamama wasinyonyeshe wala kuwaogesha tena watoto wao.

*Hakuna kuchangia damu tena.

*Ndoa zitavunjika maana tutakutanaje tukiwa mbali mita moja?? (Au kwa Bluetooth 😂)

*Ibada ndo kabisa hazitafanyika sasa.

Inafikirisha sana.

Ila bado naamini sana katika kufuata kanuni za kuimarisha kinga ya mwili.

Nashauri watu tuongeze matumizi ya vitamin C.
 

Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
2,393
2,000
Mkuu ungefafanua vizuri hyo vitamin C inapatikana kwenye vyakula/matunda ya aina gani, ungekua umetoa msaada mkubwa kwa wengi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom