Wapendwa wana JF na wataalamu wa mambo ya harufu.
Mimi huwa sihisi/sisikii harufu ya aina yoyote toka niwe na fahamu sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida kwa baadhi ya binadamu.
Toka nikiwa...
Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 .
Hata hivyo Shirika la...
Mimi ni Economist ila nimesoma biology mpaka form four na nielewavyo respiratory ni mfumo wa upumuaji yaani respiratory system. Nimeona mara nyingi sana mgonjwa anapofariki katika death...
Jamani naombeni msaada mwanangu anasumbuliwa sana,
Mwili hadi kichwani kinakuwa na moto iwe wakati wa joto au wakati wa baridi hali inabaki ileile, tumetumia panado kila siku kushusha joto lakini...
Baada ya kupima mkojo wa binadamu kwa kutumia MRDT ambacho Ni kipimo kinachotumika kupima Malaria, nilitegemea majibu yangekuwa Invalid au undetermined lakini Cha kushangaza kipimo kimeonyesha...
Poleni na majukumu wana jamii wenzangu,
naomba kufahamishwa zaidi kwa hiki ambacho nimezoea kukiona bila kukifuatilia kwa undani, maziwa huzuiaje madhara ya sumu mwilini?
Nawasilisha
MAJIBU...
Salaam sana niende moja kwa moja katika lengo la uzi huu nimekua nikikosa choo kwa myda hata wa siku tano kiasi kwamba kama isingekua haja ndogo choo ningekua nakiona tu wakati wa kufanya usafi...
Simple logic!
Yaani kitendo cha kufanya mazoezi na kutoa jasho ni kujifukiza.
Msio complicate sana. Ishu kubwa ni 'mvuke' ili 'utoe jasho la kutosha'.
Kimbia utoe jasho, hapo unajifukiza...
Habari wana jamii forum,
Leo najitokeza kwenu wadau ili muweze kunisaidia tatizo nililonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza kupata mtu aliyewahi kuwa na...
Habarini za mihangaiko wakuu,
Nahitaji kujua sababu za ujauzito kutoka,,
Nina kesi moja ya Wife, alikua anasumbuliwa sana na tumbo kipindi cha ujauzito na damu zikawa zinatoka, kwa muda wa wiki...
Matatizo ya kifua wakati wa ujauzito huweza kutokea kwasababu mwili wako unakua na mabadiliko wakati wote wa ujauzito, na mabadiliko kadhaa yanaweza kusababisha maumivu kwenye kifua chako...
Jana wakati napitia Uzi mmoja kuhusu yiba za asili,nikambuka marehemu Bibi yangu.
Utotoni Bibi alionionesha mti fulani ambao ukisikia kikohozi unakata kipande unakipitisha kwenye Moto unatafuna...
Salaam wanaJF wote.
Nina ndugu yangu ametokewa na kiuvimbe/kifundo nyuma ya kiganja cha mkono karibu na ankle. Mfano wake ni kama picha hizi:
Wakati kinaanza kutokeza anasema kilikuwa kinauma...
Naombeni msaada wenu wanajamii hili tatizo ya gynecomastia nimekuwa likiniumiza kichwa kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio, nakosa raha kabisa. yaani nimekuwa discomfort kiasi cha kukosa hata...
False: Adding other ingredients to the boiling water or steam, such as orange or lemon and peppermint oil will kill the coronavirus.
Fact: No. This technique will kill the Rona in your nasal...
Naomba kufahamu tofaut iliyopo kati ya ventilator na oxygen mashine na ni katika mazingira yapi hutumika...
Natanguliza shukrani
Its not over until its over...[emoji769]
Mimi ni kijana wa miaka 33 nimejiriwa mkoani, nina tatizo toka nikiwa form 2 sisimamishi uume wangu, na sijawahi kuwa na Girlfriend japo nakutana nao wengi lakini nahofia nikianza uhusiano...
Habari za mida wakuu,
Kwanza pole sana na kuendelea kusambaa kwa gonjwa hili la Corona. Virusi hivi vimezidi kusambaa na dawa haipatikani.
Wakati napita mtaani kuna vijana nikasikia wanasema...
Kwa wale wataalam wa afya, nina maswali naomba nipatiwe majibu.
1. Je, ni kweli wanapopima virusi vya Covid-19 huwa wanachukua damu?
2. Kama jibu ni ndio, kwa hiyo hawa virusi wapo kwenye damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.