Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume


N

NYUMBANITU

Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
13
Likes
11
Points
5
N

NYUMBANITU

Member
Joined Nov 21, 2016
13 11 5
Habari wana jamii forum,

Leo najitokeza kwenu wadau ili muweze kunisaidia tatizo nililonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza kupata mtu aliyewahi kuwa na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza kunisaidia njia ipi alitumia.

Mimi ni miaka 29 sasa hivi na nina tatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za kiume, yaan ninaposema nina tatizo wadau mnielewe kuwa nina shida kwelikweli. Mimi uwezo wangu wa kusimamisha ni mdogo sana yaan hata unaweza kuwa na mwanamke ukawa unamchezea na possible mashine isisimame kabisa au kama itasimama basi ni kwa ulegelege sana yaani haikakamai au kuwa STIFF.

Na kama inatokea nikataka kufanya tendo basi haizidi dakika hata mbili nishakojoa na hapo sasa kuja kusimama tena ni shughuli inaweza ikachukua muda sana, au isisimame kabisa. Nimejaribu kula sana mitishamba ya kutosha lakini wapi, kuna cku nilienda hospitali but docta akanihoji tu hakunipima basi akaniandika dawa nikanunue inaitwa "weed goat and yohimbe " kama cjakosea ilikua doz ya mwezi mmoja but ckuona hata dalili za mabadiliko.

Hadi sasa nimegail kabisa hata kutongoza maana, kuna wadada kama watatu tofauti washanikimbia coz wanakuwa hawanielewi kabisa, anakuja home halafu anaishia kuchezewa tu. Wamekua hawanielewi kwa kweli japo nimekua nikificha asijue sababu. but kiukweli mimi mwenyewe naumia sana cna jinsi na umri unasogea hata mustakabali wa kuoa naona giza tu.

Naomba kwa dhati kabisa km kuna mwenye ufumbuzi wa tatizo langu au kuna mtu aliwah pata tatzo hili pleasez naomba mnisaidie mlitatua vip na km ni hospital ni hospital gani na hata jina la dactari km inawezekana. au km ni dactari ni mwanajamii basi nitashukuru kupata maelezo ya suluhisho.

kiukweli sina raha kabisa na maisha haya.
kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha kwenu wadau.
 
chlorine gas

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
1,563
Likes
1,170
Points
280
chlorine gas

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
1,563 1,170 280
Nackia hii issue Inasababishwa na punyeto ngoja watalaamu waje wakusaidie
 
jaffari yogo

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
687
Likes
98
Points
45
jaffari yogo

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
687 98 45
Kwa kweli mimi sijui tiba yake.
 
king's lawyer

king's lawyer

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Messages
253
Likes
193
Points
60
king's lawyer

king's lawyer

JF-Expert Member
Joined May 4, 2015
253 193 60
mkuu nakuhurumia,kiukweli sijui tiba kihospitali,ila weka namba yako ya simu,nitakupigia kwa ajili ya suluisho la kienyeji,la siku moja tu,ambapo utakuwa unapata starehe kama kawaida,kama tatizo hilo si la kuzaliwanalo huenda ni psychological basi utaendelea mpaka utakapokaa sawa,na kama ni la magonjwa ya sukari na moyo basi utawaona wahusika,madaktari ambao watakushauri.
 
B

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
3,688
Likes
194
Points
160
Age
44
B

big_in

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
3,688 194 160
Habari wana jamii forum, leo najitokeza kwanu wadau ili mweze kunisaidia tatizo nilonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza pata mtu aliewahi kua na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza nisaidia njia ipi alitumia.

mimi ni miaka 29 sasa hv na ninatatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za kiume, yaan ninaposema ninatatizo wadau mnielewe kua ninashida kwelikweli. mimi uwezo wangu wa kusimamisha ni mdogo sana yaan hata unaweza kua na mwanamke ukawa unamchezea na possible mashine isisimame kabisa au kama itasimama basi ni kwa ulegelege sana yaani haikakamai au kua STIFF.
Na kama inatokea nikataka kufanya tendo basi haizizi dakika hata mbili nishakojoa na hapo sasa kuja kusimama tena ni shuhuli inaweza ikachukua mda sana, au isisimame kabisa. nimejaribu kula sana mitishamba ya kutosha lakini wapi, kuna cku nilienda hospitali but docta akanihoji tu hakunipima basi akaniandika dawa nikanunue inaitwa "weed goat and yohimbe " kama cjakosea ilikua doz ya mwezi mmoja but ckuona hata dalili za mabadiliko.

Hadi sasa nimegail kabisa hata kutongoza mana, kuna wadada kama watatu tofauti washanikimbia coz wanakua hawanielewi kabisa, anakuja home hafu anaishia kuchezewa tu. wamekua hawanielewi kwa kweli japo nimekua nikificha asijue sababu. but kiukweli mimi mwenyewe naumia sana cna jinsi na umri unasogea hata mustakabali wa kuoa naona giza tu.

Naomba kwa dhati kabisa km kuna mwenye ufumbuzi wa tatizo langu au kuna mtu aliwah pata tatzo hili pliz naomba mnisaidie mlitatua vip na km ni hospital ni hospital gani na hata jina la dactari km inawezekana. au km ni dactari ni mwanajamii basi nitashukuru kupata maelezo ya suluhisho. kiukweli sina raha kabisa na naisha haya.
kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha kwenu wadau.
Umri wako Mdogo Sana Fanya mazoezi
 
U

UNDERTEN

New Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
2
Likes
2
Points
5
U

UNDERTEN

New Member
Joined Oct 5, 2016
2 2 5
mkuu nakuhurumia,kiukweli sijui tiba kihospitali,ila weka namba yako ya simu,nitakupigia kwa ajili ya suluisho la kienyeji,la siku moja tu,ambapo utakuwa unapata starehe kama kawaida,kama tatizo hilo si la kuzaliwanalo huenda ni psychological basi utaendelea mpaka utakapokaa sawa,na kama ni la magonjwa ya sukari na moyo basi utawaona wahusika,madaktari ambao watakushauri.
Mkuuu yangu 06845553444
 
mtanzania2016

mtanzania2016

Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
15
Likes
11
Points
5
Age
29
mtanzania2016

mtanzania2016

Member
Joined Nov 3, 2016
15 11 5
mkuu nakuhurumia,kiukweli sijui tiba kihospitali,ila weka namba yako ya simu,nitakupigia kwa ajili ya suluisho la kienyeji,la siku moja tu,ambapo utakuwa unapata starehe kama kawaida,kama tatizo hilo si la kuzaliwanalo huenda ni psychological basi utaendelea mpaka utakapokaa sawa,na kama ni la magonjwa ya sukari na moyo basi utawaona wahusika,madaktari ambao watakushauri.
Kwa manufaaa na ya wana jamvi wengine wenye hilo tatizo au ambao wanaweza kujikuta wamepata hilo tatizo kwa siku zijazo, weka hapa tiba hiyo ya kienyeji unayo ifahamu wew...
 
Shedangio

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
422
Likes
148
Points
60
Age
48
Shedangio

Shedangio

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
422 148 60
Kaka hujawahi kufanya punyeto ili kama umewqhi tuanzie hapo
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,028
Likes
2,726
Points
280
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,028 2,726 280
kabla sijakushauri elezea kidogo kuhusu historia yako,umewahi kupiga punyeto,na mara ngapi kwa siku?
 
Shedangio

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
422
Likes
148
Points
60
Age
48
Shedangio

Shedangio

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
422 148 60
Na je ni tatizo la muda gani mpk sasa?
 
N

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
1,077
Likes
811
Points
280
N

nanawoo

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
1,077 811 280
kuna kitu kinaitwa mkongo je ushatumia hicho
 
K

khashdz

Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
22
Likes
4
Points
5
K

khashdz

Member
Joined Jul 14, 2011
22 4 5
Kwanza kaka ungetoa historia yako kwa ufupi, tatizo hili limeanza kukusumbua kwa mda gani sasa, je ulikuwa mdau wa nyeto, vyakula unavyopendelea kula, unafanya mazoezi kwa kiwango gani, uhalisia wa kazi zako upo vp ie unafanya kazi ngumu sana au.......
 
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
877
Likes
666
Points
280
Age
37
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
877 666 280
Suala la upungufu wa nguvu za kiume ni Sakrojia, Mazoezi na rishe Bora
 

Forum statistics

Threads 1,273,262
Members 490,343
Posts 30,475,785