Naomba msaada wa tatizo la mwili wa mtoto wa miezi kumi kuwa moto

Feb 14, 2018
21
1
Jamani naombeni msaada mwanangu anasumbuliwa sana,

Mwili hadi kichwani kinakuwa na moto iwe wakati wa joto au wakati wa baridi hali inabaki ileile, tumetumia panado kila siku kushusha joto lakini haimsaidii.

Naomba msaada kuondoa hili tatizo la muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom