Msaada: Utambuzi wa Harufu mbaya/nzuri

Msaada: Utambuzi wa Harufu mbaya/nzuri

WaKatende

Senior Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
123
Reaction score
55
Wapendwa wana JF na wataalamu wa mambo ya harufu.

Mimi huwa sihisi/sisikii harufu ya aina yoyote toka niwe na fahamu sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida kwa baadhi ya binadamu.

Toka nikiwa shuleni nitasikia wenzangu wanalalamika kuna mtu kajampa ambapo mie sijasikia sauti ya kijampo nashangaa naamua kujumuika nao kulalamika.

Kuna siku wife alinishangaa alivyonikuta ndani nimekaa wakati kulikuwa na harufu ya panya alieoza.. Nikasingizia naumwa mafua, akamtafuta akampata.

Ukweli huwa sisikii harufu yoyote nikiwa peke yangu nakula nikibanwa najampa. Huwa nashangaa utasikia mtu anakwambia kuna maharage au viazi vinaungua.

Au kuna stafeli humu ndani limeiva n.k. Huwa najiuliza wao wanatambuaje? Wataalamu naomba mnifahamishe kama ni tatizo nini tiba yake, na kama sio tatizo nifanye nini ili nisikie hizo harufu?

Kuna wakati nikipita sehemu chafu utasikia tumbo linauma na kichwa kugonga.

Natanguliza shukrani wakuu..
 
mmh sio kweli na kama ni kweli husiki harufu yeyote ile una tatizo au matatizo kweli embu nenda muone doctor sio bure mahewa ma chafu namna hii usisikie harafu mmmh ukapimwe
 
Mkuu ni kweli kabisa huwa sisikii harufu yeyote toka utotoni
 
pole, wapo watu wachache wenye condition kama yako wanasema pia kuna baadhi ya ladha utakua unazikosa
 
Nilishawahi kuishi na binti mwenye shida hiyo, but she was ok and smart.
 
Mkuu tatizo hili linatibika? Au niendelee kuishi kama nilivyo..

Mshukuru mungu kwa kukupendelea. Bora hata usizisikie hizo harufu nouma sana, ya nini kujitaftia kinyaa bila sababu. Yaan we bahat uloipata ni kwamba unaweza kula hata papuchi iliyoko mwezini na ukainjoi kama kawaida.

Dah unabahati sana.
 
arola ---- wakati harufu zinasaidia kuepuka baadhi ya hatari, mfano kuna jamaa alishanusurika kifo kwa kusikia harufu ya petrol iliyomwaga kwenye nyumba yake ili ichomwe. Kuhusu hili la papuchi sijakuelewa kwani kinyaa kinasababishwa na kunusa au kuona?
 
Last edited by a moderator:
Nini chanzo cha tatizo hili..!

Tatizo la kutohisi harufu kitaalamu hujulikana kama anosmia na hutokea kwa sababu mbalimbali...

Kwa kawaida huwa kuna aina mbili, tatizo la muda mfupi na tatizo la moja kwa moja la ukosefu wa kutambua harufu...

Tatizo la muda mfupi huweza sababishwa na infection katika njia za hewa puani au kukinzwa kwa njia ya hewa puani...

Wakati tatizo la muda mrefu hutokea kwa sababu ya damage kwenye sehemu ya mbele ya ubongo inayohusika na kutambua harufu 'olfactory system' au kufa kwa neva zinazopeleka taarifa ya harufu kwenye ubongo 'olfactory receptor neurons'...

Kuna uwezekano mwingine kuwa ni tatizo la kurithi ambalo kitaalamu huitwa 'congenitial anosmia'. Hapa inabidi kujua historia ya familia yako.
 
Ndugu binafsi siyawai kumuona kiumbe keme wewe,so ni vyema ukapate usahauli wa dactar hili unijuze na mimi ndugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mmh sio kweli na kama ni kweli husiki harufu yeyote ile una tatizo au matatizo kweli embu nenda muone doctor sio bure mahewa ma chafu namna hii usisikie harafu mmmh ukapimwe

HELL NO!
Kuna watu wanazaliwa bila sensory nerves za kunusa harufu, kama vile wengine wanaozaliwa bila sensory nerves za uoni (optic nerves) na kuwa vipofu, au wale wasio na sensory nerves za kusikia (viziwi). Huu ni ulemavu kama ulivyo ulemavu wa kusikia, kuona, kutembea nk. Hata afanyeje, huyu hawezi kunusa kamwe, ndo kazaliwa hivyo. Nawafahamu watu kadhaa ndugu zangu ambao wana shida hiyo.
 
Tatizo la kutohisi harufu kitaalamu hujulikana kama anosmia na hutokea kwa sababu mbalimbali...

Kwa kawaida huwa kuna aina mbili, tatizo la muda mfupi na tatizo la moja kwa moja la ukosefu wa kutambua harufu...

Tatizo la muda mfupi huweza sababishwa na infection katika njia za hewa puani au kukinzwa kwa njia ya hewa puani...

Wakati tatizo la muda mrefu hutokea kwa sababu ya damage kwenye sehemu ya mbele ya ubongo inayohusika na kutambua harufu 'olfactory system' au kufa kwa neva zinazopeleka taarifa ya harufu kwenye ubongo 'olfactory receptor neurons'...

Kuna uwezekano mwingine kuwa ni tatizo la kurithi ambalo kitaalamu huitwa 'congenitial anosmia'. Hapa inabidi kujua historia ya familia yako.

Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi naona naelekea kupata chanzo cha tatizo kitakachonisaidia kupata tiba. Mkuu watu8 ngoja leo niwasiliane na wazazi kwa maelezo zaidi kisha ntarudi tena.
 
Last edited by a moderator:
HELL NO!
Kuna watu wanazaliwa bila sensory nerves za kunusa harufu, kama vile wengine wanaozaliwa bila sensory nerves za uoni (optic nerves) na kuwa vipofu, au wale wasio na sensory nerves za kusikia (viziwi). Huu ni ulemavu kama ulivyo ulemavu wa kusikia, kuona, kutembea nk. Hata afanyeje, huyu hawezi kunusa kamwe, ndo kazaliwa hivyo. Nawafahamu watu kadhaa ndugu zangu ambao wana shida hiyo.

Mmmmm eti ni ulemavu? na siwezi nusa kamwe! Masikini mimi.. Kwani kiongozi hakuna namna ya kuweza kuziboost hizo sencor? Ukweli mkuu hali hii inanikosesha raha ingawa ninayo mda mrefu sasa.
 
Wapendwa wana JF na wataalamu wa mambo ya harufu.

Mimi huwa sihisi/sisikii harufu ya aina yoyote toka niwe na fahamu sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida kwa baadhi ya binadamu.

Toka nikiwa shuleni nitasikia wenzangu wanalalamika kuna mtu kajampa ambapo mie sijasikia sauti ya kijampo nashangaa naamua kujumuika nao kulalamika.

Kuna siku wife alinishangaa alivyonikuta ndani nimekaa wakati kulikuwa na harufu ya panya alieoza.. Nikasingizia naumwa mafua, akamtafuta akampata.

Ukweli huwa sisikii harufu yoyote nikiwa peke yangu nakula nikibanwa najampa. Huwa nashangaa utasikia mtu anakwambia kuna maharage au viazi vinaungua.

Au kuna stafeli humu ndani limeiva n.k. Huwa najiuliza wao wanatambuaje? Wataalamu naomba mnifahamishe kama ni tatizo nini tiba yake, na kama sio tatizo nifanye nini ili nisikie hizo harufu?

Kuna wakati nikipita sehemu chafu utasikia tumbo linauma na kichwa kugonga.

Natanguliza shukrani wakuu..

Hili tatizo n brand new MziziMkavu msaada
 
Last edited by a moderator:
Mmmmm eti ni ulemavu? na siwezi nusa kamwe! Masikini mimi.. Kwani kiongozi hakuna namna ya kuweza kuziboost hizo sencor? Ukweli mkuu hali hii inanikosesha raha ingawa ninayo mda mrefu sasa.
Hata mimi ni kama wewe mkuu! sinusagi kabisa labda vitu common kama sigara na petrol au harufu kali sana kama za spirits. Sijui kwa nini ati...
 
Mkuu fuatilia kwa makini coment za watu8 na Idimi zitakusaidia kujua chanzo cha matatizo haya... Eti Mamaafacebook anashangaa tatizo hili wakati watu tuoalo miaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom