Corona isitusahaulishe kula bila kunawa

Corona isitusahaulishe kula bila kunawa

Ayenda M

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
98
Reaction score
133
Habari za mida wakuu,

Kwanza pole sana na kuendelea kusambaa kwa gonjwa hili la Corona. Virusi hivi vimezidi kusambaa na dawa haipatikani.

Wakati napita mtaani kuna vijana nikasikia wanasema kunawa kabla ya kula ni uoga uliokithiri. Wanataka tugonge msosi bila kunawa. Jambo la hatari kabisa.

Ujio wa Corona unetusahaulisha kampeni yetu pendwa kabisa. Virusi hivi vimesababisha watu wanakuwa wazito vichwani mwao juu ya ukweli uliopo kuwa hata vitani kuna wale survivors. Unaweza kuwa wewe.

Leo hii kuna watu wanadiriki kula tunda bila kuliosha ili hali hawana uhakika wa usafi wa tunda hilo.

Wakubwa Condom zimejaa mahospitali, tumieni kinga wakati wa kufanya ngono huko kwenye mitaro la sivyo hali sio shwari. Usijilinde na Corona ukausahau Ukimwi. Ni hatari.

Utafanya nini siku ukiukwaa Ukimwi na Corona kwa pamoja.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Habari za mida wakuu,

Kwanza pole sana na kuendelea kusambaa kwa gonjwa hili la Corona. Virusi hivi vimezidi kusambaa na dawa haipatikani.

Wakati napita mtaani kuna vijana nkasikia wanasema kunawa kabla ya kula ni uoga uliokithiri. Wanataka tugonge msosi bila kunawa. Jambo la hatari kabisa.

Ujio wa Corona unetusahaulisha kampeni yetu pendwa kabisa. Virusi hivi vimesababisha watu wanakuwa wazito vichwani mwao juu ya ukweli uliopo kuwa hata vitani kuna wale survivors. Unaweza kuwa wewe.

Leo hii kuna watu wanadiriki kula tunda bila kuliosha ili hali hawana uhakika wa usafi wa tunda hilo.

Wakubwa Condom zimejaa mahospitali, tumieni kinga wakati wa kufanya ngono huko kwenye mitaro la sivyo hali sio shwari. Usijilinde na Corona ukausahau Ukimwi. Ni hatari.

Utafanya nini siku ukiukwaa Ukimwi na Corona kwa pamoja.
Asante kwa muongozo ndugu mjumbe.

Hivi wale malaya wa pale Buguruni bado wanachapa kazi ?
 
Back
Top Bottom