Nimepima nimeambiwa nina Rheumatoid factor naombeni ushauri

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,010
2,000
Hello wana JF,

Naombeni msaada wapendwa, naumwa viungo vyote vya mwli nimeenda kupima Daktari akasema nina Rheumatism, ameniandikia dawa hamna unafuu wowote ,nimeambatanisha vielelezo alivyonipa na dawa ,naombeni msaada hali ni tete,
20200503_142304.jpeg
20200503_142418.jpeg
20200503_142445.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dystonia7

JF-Expert Member
Sep 12, 2019
227
250

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,010
2,000
Kwanza nashukuru sana kwa kunijibu kiungwana.nilipima tarehe moja mwezi huu na huyo mwenye Laboratory ndiye aliyeniandikia dawa, kuangalia dawa ambazo ameniandika ni za kutuliza maumivu. Sio za kutibu mkuu. Na nilimiuliza akajibu kanunue dawa. Hana muda mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom