Tatizo kifundo/uvimbe nyuma ya kiganja cha mkono (Ganglion cyst), nini tiba yake kukinyausha?

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,086
913
Salaam wanaJF wote.

Nina ndugu yangu ametokewa na kiuvimbe/kifundo nyuma ya kiganja cha mkono karibu na ankle. Mfano wake ni kama picha hizi:
images (6).jpeg

images (5).jpeg

Wakati kinaanza kutokeza anasema kilikuwa kinauma kwa mbaali. Ila Kwa sasa ni painless, hasikii maumivu yoyote.

Amekuwa akijaribu kukichua kwa kitunguu saumu ila hapati matokeo chanya.

Je, kuna tiba ya kukinyausha na kukiondoa kabisa?

Kwa yeyote mwenye uelewa ama uzoefu na kitu hiki ashee nasi na kwa faida ya wengine pia wenye tatizo kama hilo.

Afu naona mara nyingi ni wanawake ndiyo kinawapata zaidi kuliko wanaume.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom