Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?
• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which...
jamani naombeni mnisaidie coz sijui na kuuliza sio ujinga.my wife anapofikia kilele wakati tuna do huwa anapoteza fahamu kwa muda mpaka nimpepee au nimfutefute usoni kwa kitambaa chenye maji ya...
Wadau nimeona ku-share na nyie jambo hili huenda ikawa sababu ya kusaidia kuokoa uhai wa watu wanaosumbuliwa na maradhi hayo, ikumbukwe kwa sasa Dunia inapita kwenye taharuki kubwa ya ugonjwa unao...
Ni maradhi yanayotokana na machafuko ya maini, na matumbo ambayo inasababisha kuhara ambapo kuna kamasi au damu katika kinyesi. Bila kutibiwa ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo.
Dalili na...
Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani...
Punyeto imenifanya nimepata tatzo la masikio nikiongea na watu sauti naziskia ila maneno kuyatambua nashindwa nifanyaje nirudi kwenye hali ya kawaida naishi maisha ya kipweke tu kutongoza ndio...
Wakuu poleni na stress za corona..
Swali langu ni moja tu, hivi kwanini kirusi kinachoitwa HIV hakijawahi kuonekana popote tofauti na mwenzake COVID-19.
Kila mahali mitandaoni na kwingineko...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Kimekuwepo kilio cha muda mrefu toka kwa wadau mbalimbali juu ya Tatizo la Kuvimba fizi. JF imeonelea ni vema iusimamie mjadala huu kwa...
Garlic Kills Brain Cancer Cells Without Side Effects
by Dave Mihalovic
PreventDisease.com
Cancer cells have a high metabolism and require much energy for rapid growth. Researchers reported in the...
Habari zenu wana JF,
Nauliza kwa yeyote ambaye ameshawahi kuona dawa hii, D-Mannose, 500 Mg ni Supplement. kama ipo naweza kuipata wapi?
Nitashukuru sana.
Je, wewe mwenzangu unajiuliza mwisho wa kuvaa barakoa ni lini ?
Mfumo wa upumuaji ni kuvuta Oksijeni na kutoa Carbon dioxide kwa kiwango sahihi .
kwa hakika nimechoka kuvaa barakoa, watu...
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Hakika mapenzi ni matamu hakuna asiyelifahamu hili na mapenzi kwa kawaida hushirikisha vishiriki ngono kama kupapasana, kubusiana na hata mambo fulani ya kula...
Mti huu sio mgeni kwa tiba kwa baadhi ya nchi za Africa, siku za nyuma pia ulikuwa ukitumika kutibu malaria na maradhi mengine madogo madogo, Madascar wameendelea kugawa bure na kuhamasisha...
Habarini wakuu, kuna yoyote anaweza nifafanulia tiba ya tatizo tajwa apo juu? korodani zangu pamoja na uume vimeshrink sana, hii pengine ilisababishwa na punyeto niliyokua napiga kipindi icho...
Habari za jioni wapendwa! Je ni sahihi kumpa mafuta ya samaki mtoto wa miezi miwili? Mtoto wangu anasumbuliwa na mafua makali sana! Nimempeleka Hospitali nmepewa dawa lakini bado! Yaani hayatoki...
Katika jitihada za kupambana na Corona tumekuwa tukipata habari na taarifa mbalimbali jinsi ya kujikinga.
Moja ya njia zinazoshauriwa ni kufunika mdomo kwa kitambaa pale unapopiga chafya ili...
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo...
Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
Hivi ndivyo serikali inavyocheza na moto!
👉Suspects wote wenye mild symptoms HAWAPIMWI 🦠badala yake watatibiwa hizo symptoms na kurudi home
👉moderate to severe watatibiwa then wasipoonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.