Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari zenu naomba husika na mada apo juu jana baada ya kujsikia vibaya nikaenda hosptal na kupima baadhi ya magonjwa ila nimekutwa na presha 140/100 nina miaka 32 naomba kueleweshwa njia za...
3 Reactions
40 Replies
607 Views
Wakuu poleni na majukumu.Naomba kama kuna mdau mwenye ufahamu kuhusu tatizo la kumwaga mate au udenda wakati wa usingizi,nini sababu hasa ya tatizo,na tiba yake. Binafsi nina tatizo hili,na lina...
1 Reactions
7 Replies
16K Views
Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote...
1 Reactions
9 Replies
281 Views
Habari zenu wadau... natumai mupo wazima kabisaa... kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba mwaka wa 2 huu mimi nina tatizo la moyo kwenda mbio sana utadhani nimetoka kufukuzwa...
3 Reactions
25 Replies
9K Views
Hii ni kweli kwa kiwango kikubwa, na siyo tu “hekima ya kale.” Kuna sababu za kibiolojia na kiafya zinazoiunga mkono. Ifuatayo ni misingi ya kisaikolojia na kiafya inayoeleza hilo: 1. Umeng’enyo...
4 Reactions
0 Replies
312 Views
Habari Ndugu zangu nauliza bei Za chupa ya Damu.
2 Reactions
11 Replies
297 Views
Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
0 Reactions
8 Replies
274 Views
Kama kichwa kinavosema Mke wangu ananyonyesha sasa miezi 8 sasa sijaonja ile kitu leo nmegusa nmemwaga humohumo Akitumia p2 kuna madhara yoyote kwa madaktari Nimeenda pharmacy wamesema...
3 Reactions
8 Replies
490 Views
1. Vidole vya miguu kufa ganzi 2. Mwili kuwa na vitu vinachoma choma km sindano au vichomi sehemu mbali mbali za mwili wajuvi please help. Miguu haiumi ila vidole ndo vinakufa ganzi, na vichomi...
4 Reactions
27 Replies
497 Views
Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuna nyakati Fulani. Nadhani Kila moja anapitia ...Ile ya kuona kifikra kitu flani au jambo flani linalokupa Furaha then una tabasamu , au hata kucheka . Au Ile Hali mara upo unatembea...
5 Reactions
37 Replies
606 Views
Kikohozi kikavu, usiku nashtuka kukohoa Karibuni jamaa
3 Reactions
12 Replies
237 Views
jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
4 Reactions
14 Replies
347 Views
Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu...
1 Reactions
2 Replies
783 Views
Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya...
3 Reactions
27 Replies
548 Views
WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔 👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili...
4 Reactions
9 Replies
12K Views
heri ya mwaka mpya wajumbe. nipo mbele yenu nikiwa ni kijana wa miaka 34. kuna matibabu nilikuwa nafanyiwa kuanzia 2019 hadi 2022 ambayo yalihusisha chermotherapy, radiotherapy na BMT baada ya...
0 Reactions
4 Replies
161 Views
Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
5 Reactions
17 Replies
414 Views
Back
Top Bottom