Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye...
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini...
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.
Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni...
Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
Muhimu: Uzi huu hauhusishi matatizo ya nguvu za kiume, tayari kuna uzi wake maalum jukwaa la mapenzi
Huu ni uzi spesho wa mirejesho yetu tuliowahi kutumia tiba asili na zikatusaidia, yaani sisi...
Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) ni nini?
Neno ‘Dementia’ (ugonjwa wa kupoteza ufahamu) linaelezea dalili mbalimbali kama vile upotezaji wa kumbukumbu, matatizo ya kufikiria au kuongea, na...
Habari zenu vipendhy naomba msaaada kidogo kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi kama kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda...
Katika muongo mmoja uliopita, ulimwengu umeshuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya afya. Tumepambana na magonjwa ya milipuko na kuimarisha mifumo yetu ya matibabu. Hata hivyo, katikati ya...
Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi...
Awali ya yote, nawasalimu.
Nimeleta hii maada kwenu ni baada ya maumivu makali moyo wangu umeyabeba,na thamani ya maisha siioni tena na sioni haja ya kupalangana na maisha kabisa.
Nimeoa miaka 2...
Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika...
Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko...
Naomba kuwasilisha changamoto ambayo inawakumba watumiaji wa bima haswa NHIF.
Lengo la serikali ni kuhakikisha watu wote wanapata huduma za afya bila vikwazo.
Lakini imeibuka changamoto katika...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BAKTERIA HUYU
Habari wanajamvi!!!
Naomba kujua tiba ya Helicobacter pylori( H-pylori) ni ipi? Na je huu ugonjwa unatibika ? Je wapo watu walioumwa...
Kama nilivooeleza ninaomba msaada wa haraka.
Mawiki yaliyopita nililalamika hapa kuwa kiuno na mgongo vinauma na usaha mzito kwenye uume kwa miaka nane ila sikujua ni nini mie nilihisi nimerogwa...
Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo...
Wadau,
Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!
Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu...
Wana JF, kuna ndugu yangu yaani yeye asipokunywa chai kabla hajalala basi atakesha akihesabu 'kenchi' na kuna siku alikosa chai akanywa kahawa na matokeo yake 'alikesha', je, hali hiyo ya kutopata...
Tulikuwa na family day na haya ndio niliyoambulia nikaona they are good news worth sharing.
======================
Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.