Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habar wakuu hapa nilmejichunguza nlikua nimebana pua Huku nimeunabana mdomo kama mtu anaetaka kujichokonoa pia,,Sasa sehemu inapanzia lipis ya juu ya mdomo Hadi kufikia pua nyama Lote la mdomo...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Moja ya sababu inayoleta matatizo ya kuzaa pale umri unapokua mkubwa ni kupevushwa yai mara chache kuliko kawaida. Kadiri wanawake wanapoendelea kukua mizunguko yao ya hedhi inaanza kubadilika na...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Siku za karibuni, wanawake wengi wamekuwa wakiota ndevu na wengi hawajui cha kufanya. Katika mjadala huu, tunaangalia CHANZO cha tatizo hili, dalili zake (kama zipo), tutajadili pia tiba za asili...
0 Reactions
403 Replies
95K Views
Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee huu ugonjwa sijui ni ugonjwa gani.......
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na...
8 Reactions
38 Replies
584 Views
Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba...
2 Reactions
8 Replies
227 Views
Wakuu, Mficha maradhi......mtamalizia. Nina 6months nimeoa,mke wangu hapati ujauzito, Nimejaribu kumtime akitoka kupata hedhi nalala nae(nashiriki nae tendo la ndoa) lakini imekuwa ngumu kwake...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Hodi, habari wanajamvi!! Naomba msaada juu ya hili! Rafiki yangu ana tatizo la kutoka majimaji (yaani sio jasho la kawaida)mikononi na miguuni tu! Kiasi kwamba hata akilala anatumia feni (Note...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia...
5 Reactions
154 Replies
35K Views
Finally Nilirudia, Nipo Safe. Kua makink
19 Reactions
56 Replies
3K Views
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari. Asante.
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Wadau kwema! Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo? Asilimia 12%ya vifo nchini vimetokana na magonjwa ya moyo ikiwa ni idadi kubwa sana nchini ya vifo kila mwaka .Hivyo watu wengi wamekuwa...
2 Reactions
3 Replies
372 Views
Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa. Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nina shida naomba niwashirikishe nipate ushauri, kila asubuhi huwa nafanya mazoezi ya kukimbia na ya viungo takriban saa mbili hivi ila sipati shida yoyote. Lakini naweza...
2 Reactions
13 Replies
562 Views
Niko hapa kuwajibu maswali yote kuhusu matatizo ya nguvu za kiume.
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa... Baadae...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom