niliona Uzi wako mwaka jana mwezi wa 8 ukimuomba mshana jr ushauri wa tatizo hili hili,41 years
Ushazeeka mkuuu mazee dah... Washukuru ndugu na marafiki kwa maisha uliyoishiii🙏41 years
Sio Mimi mkuu yule bwana ni jamaa yangu nadhani aliishapona ila 29 October iliondoka nae pasi hurumaniliona Uzi wako mwaka jana mwezi wa 8 ukimuomba mshana jr ushauri wa tatizo hili hili,
tulikwambia uende hospital kwanini huku fanya hivyo?
aiseeSio Mimi mkuu yule bwana ni jamaa yangu nadhani aliishapona ila 29 October iliondoka nae pasi huruma