Tatizo la kuwa na hasira wakati wa hedhi

Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu..lakini nimejikuta nna tatizo ambalo sio siri linanisumbua sana. Tatizo lenyewe hutokea pale nnapokuwa katika mzunguko wa siku zangu mala nyingi huwa nnakuwa out of control maana nnakuwa na hasira kali kwa kila mtu hasa wale wa kalibu yangu! Tatizo hili limekuwa tishio kwangu maana watu wanashindwa kunielewa na wengine wamekosana na mie na kuniacha katika majuto makubwa sana!
Ndugu zangu nnaomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kutatua tatizo hili labda kwa dawa flani au kwa njia ya kisaikolojia basi anisaidie ili namie niwe wa kawaida!
Nawasilisaha!

pole sana ndugu sio wew pekeako mwenye hili tatizo hii hutokea kwa wanawake wengi tusubir wataalam waje hapa watufafanulie kwa kina
 
Ahsante dada angu! But ni changamoto kubwa sana! Ngoja tusubili waje wataalam!
 
Ndugu zangu wa jukwaa hili la afya...samahani kwa usumbufu..lakini nimejikuta nna tatizo ambalo sio siri linanisumbua sana. Tatizo lenyewe hutokea pale nnapokuwa katika mzunguko wa siku zangu mala nyingi huwa nnakuwa out of control maana nnakuwa na hasira kali kwa kila mtu hasa wale wa kalibu yangu! Tatizo hili limekuwa tishio kwangu maana watu wanashindwa kunielewa na wengine wamekosana na mie na kuniacha katika majuto makubwa sana!
Ndugu zangu nnaomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kutatua tatizo hili labda kwa dawa flani au kwa njia ya kisaikolojia basi anisaidie ili namie niwe wa kawaida!
Nawasilisaha!

Hakuna Lolote bali ni Stress tu Hizo Zinawasumbua na Kwa Kukusaidia tu Ukiwa ktk MP Yako na Unajijua Kuwa Huwa Unakasirika basi Maji Yasikae Mbali na Wewe Kwani Maji ni Tiba Bora na Nzuri Mno ktk Kukata Hasira.
 
hii pia inatokana na kujihami watu wasikugundue upo ktk hali gani, lakini jaribu kutumia maji mengi ya vuguvugu yatakusaidia kukata hasira lakini pia husaidia kuondoa ule uchafu kwa haraka.
 
Back
Top Bottom