king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 579
heri ya mwaka mpya wajumbe.
nipo mbele yenu nikiwa ni kijana wa miaka 34.
kuna matibabu nilikuwa nafanyiwa kuanzia 2019 hadi 2022 ambayo yalihusisha chermotherapy, radiotherapy na BMT baada ya kuugua saratani ya damu.
shida yangu kubwa ni mabadiriko makubwa ya mfumo wangu wa uzazi. kwa miaka mi3 nimeanza kuingia na wasiwasi mkubwa sana. sina uhakika na uzazi. Nimeanza kuwa na ED na PE kitu ambacho kinanisononesha sana ni nikizingatia ni muda sasa umepita.
Naombeni kujua kama naweza pata mtaalamu yeyote wa kunisaidia hili tatzo au kama kuna mtu yeyote aliwahi patwa na changamoto za namna hii baada ya matibabu mazito anisaidie.