Tatizo la Kumwaga udenda usingizini

Tatizo la Kumwaga udenda usingizini

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,180
Reaction score
138,474
Wakuu poleni na majukumu.Naomba kama kuna mdau mwenye ufahamu kuhusu tatizo la kumwaga mate au udenda wakati wa usingizi,nini sababu hasa ya tatizo,na tiba yake. Binafsi nina tatizo hili,na lina nitia aibu hasa napokuwa ugenini au napolala na mtoto.asubui unakuta mto umeloa udenda.

Mzizimkavu heshima mbele kaka
 
Hata mm nna hlo tatizo,cjapata dawa,huwa c2mii foronyo yt. Nikienda ugenn natandika taulo juu ya mto kwanza,ndo nall.
m2saidie.
 
analala mdomo wazi ndio chanzo cha tatizo hilo......hence umeshajua nn chanzo basi tiba ishapatikana!
 
Hata Mimi nilikuwa na tatizo hilo lakini Kwa sasa limekwisha baada ya kugundua dawa. Fanya hivi: kabla ya kulala safisha meno yako ukitumia mswaki na dawa ya kusafishia meno Kwa muda wa dk kumi tu. Kesho unipe jibu hapahapa uwanjani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu hyo ni kama sheria kwangu,japo ka dk 3 tu.anyway let me try hzo dakika kumi.kama una dawa nyingine tupiamo
 
Wakuu poleni na majukumu.Naomba kama kuna mdau mwenye ufahamu kuhusu tatizo la kumwaga mate au udenda wakati wa usingizi,nini sababu hasa ya tatizo,na tiba yake. Binafsi nina tatizo hili,na lina nitia aibu hasa napokuwa ugenini au napolala na mtoto.asubui unakuta mto umeloa udenda.

Mzizimkavu heshima mbele kaka
Ulipata jibu hili tatizo bosi?
 
Back
Top Bottom