Habari zenu wakuu,
Nina shida naomba niwashirikishe nipate ushauri, kila asubuhi huwa nafanya mazoezi ya kukimbia na ya viungo takriban saa mbili hivi ila sipati shida yoyote. Lakini naweza...
Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa...
Baadae...
Picha kwa hisani ya Google
Kuota matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) ni kuongezeka ukubwa/ujazo wa matiti kwa mwanaume. Hutokana mabadiliko ya viwango vya homoni za kiume (Testosterone) na homoni...
Kila mwezi nina siku zangu tatu za kuumwa tumbo na kichwa kwa sababu ni kitu ambacho siwezi kukwepa. Sasa safari hii hali ilikuwa tofauti hata nilipomeza dawa za maumivu hazikunisaidia kutuliza...
Wakuu, wataalamu. Nimeanza kuhisi maumivu makali sana maeneo ya chini ya kifua. Ni siku ya tano toka nimeanza kuiExperience. Nimekuwa nikitumia dawa za maumivu kutuliza maumivu.
Kama kuna...
Habari,
Nimeona niguse kiini cha magonjwa mengi ili iwe clear kwetu kua tupo kwenye matrix.
Zamani kula chakula cha asili haikuwa mjadala. Ilikuwa ndio kawaida.
Leo hali imegeuka: kula vyakula vya...
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.
Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake...
Kuna mama jirani hapa kaja kunitembelea Leo,huyu Mama kazi zake ni za saidia fundi, kufua pamoja kufanya usafi Kwa watu.
Sasa Leo alichonishangaza ni alichoniambia, kuwa Jana alipikia watoto...
Habari,
Nimeleta hii post ili kukumbusha asili yetu kwa upande wa mapishi na vyakula kwakua ni wazi kuwa magonjwa yanaongezeka kila kukicha pindi asili inapoondoka. Kwa ambao tumeonja ladha ya...
Wakuu, msaada wenu naomba msaada kwenye jambo.
Hivi unamsaidiaje mtu ambae akili zake zimeruka?. Yaani mwanzoni alikua na akili timamu kabisa ila ghafla tu anageuka kua FYATU anaanza kuongea vitu...
Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.
Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma...
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 33 kwa kipindi kirefu nimekua nashida nikinywa maji hata robo kikombe baada ya dk 20 nitahisi mkojo, nikienda kukokoja ntakojoa ile naumalizia mkojo...
Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,?
Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa...
Habari...mm kuna tatizo limeanza sasa sielew ni hali ya hewa au nn...kwa sasa nimekuwa nikienda haja ndogo mara nyingi zaid hasa nyakati za usiku...imefika wakati ikanibid nifanye jaribio kijua...
Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa.
Swali je kinatengenezwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.