Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu, nina tatizo la uvimbe kwenye Mfereji wa haja kubwa ( Mlangoni kabisa).
Nimevumilia maumivu yamezidi kuwa makali; wakati wa kukaa, kutembea na mbaya zaidi...
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Shida yangu iliyonileta apa kutaka ushauri kwenu Ni kua Nina mwanangu miaka 5 juzi katika kumchunguza niligundua Kuna meno mawili yanaota ndani ya haya ya...
Doxycycline or Doxy is an Antibiotic used to treat various bacterial infections such as Cholera, Viral Infections, Infertility associated with STD, and more
Habari za wakati huu wadau?
Kuna kijana wa 10 yrs.
Mara nyingi sana anajisikia Kichefuchefu na kutapika hasa anapokuwa shuleni.
Hospitali zote za maeneo ya jirani amepelekwa lakini, wanasema...
Wakuuu salaam.
Nina katoto kangu kanasumbuliwa na vidonda vya mara kwa mara, kwenye fizi na ndani ya mdomo.
Amepelekwa hospital Mara kwa Mara.
Akipewa dawa vinaisha kwa muda na kuanza Tena...
Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu.
Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila...
FAHAMU TIBA YA MAUMIVU WAKATI WA KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME.
PAINFUL EJACULATION/PAINFUL ORGANS IN MALE.
Ni ile hali ya mwanaume kuhisi maumivu wakati anafika kileleni/wakati manii yanatoka au...
Nina shida ya kupatwa na vidonda vya mdomo mara kwa mara, na sasa hata mtoto wangu wa miaka 10 namuona ameanza kuwa na tatizo la aina hii.
Nini hasa tatizo?
Naomba msaada wenu
Eid Mubarak!
Mamaangu anasukbuliwa na mkono wake, ameenda hospital kaishiwa kupewa vidonge anameza kweli maumivu yanapungua ila akishamaliza dawa maumivu yanarudi! Last time nilimwambia akafanye...
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI?
Ni mabadiliko hasi (yasiyo ya kawaida) ya chembechembe hai zilizopo kwenye shingo ya kizazi. Mara nyingi saratani hii ikiwa inaanza haionyeshi dalili yoyote hivyo...
Vijana naombeni msaada Mimi ni kijana
Nina umri wa miaka 23
Lakini cha ajabu nasumbuliwa Na matatizo ya mgongo pamoja Na Shingo
Nilikwenda hospitali walisema Sina tatizo lolote mgongoni
Yaani...
Habari,
Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea...
Miti inayo tuzunguka, ina nguvu nyingi sana za kiroho. Ukiwa na ufahamu juu ya nguvu za kiroho zinazopatikana ndani ya miti mbalimbali, basi maisha yako ya hapa duniani yatakuwa rahisi sana. Leo...
Wana wa Adam.Napenda niwape somo fupi kuhusu mtu kunya mavi magumu au ukosefu wa kupata choo.Kwa mwanamme yeyote anaepata choo kigumu au hapati choo japo anakula watu hawa huwa HAWANA NGUVU ZA...
Hi wana Jf,
Mimi nina mtoto mdogo mwenye umri w a miaka minne (4), amekuwa akilalamika mgongo unamuuma mara kwa mara, je linaweza kuwa ni tatizo gani? kwani navyojua mimi ugonjwa huo ni kwa watu...
msaada, nasumbuliwa na mgongo na sifanyi kazi ngumu.nafuu yake niekewe kitu kizito cha kilo zaidi ya 50 niwekewe mgongoni ndio najisikia nafuu au MTU anikanyage kwa miguu. Mwenye uzito wa kutosha...
Heshima yenu wote. Kuna kitu kinaumiza sana na mwisho wa siku tunaona kama Serikali ya Tanzania haiko Serious kuhudumia wananchi wake tena zaidi sana wafanyakazi wake wanatumia NHIF
Jana nilienda...
Habari za muda huu? Nina mdogo wangu anatarajia kujifungua mwezi huu sasa tulifikiria kumpeleka hospital ya kwa Aman tupo dodoma, naombeni kwa anayefahamu huduma za pale za uzazi au aliyewahi...
Anesthesiologist ni daktari bingwa anayetoa huduma ya kufanya mgonjwa asikia maumizo wakati anatibiwa, hasa wakati wa operation. Kwa marekani ni lazima awe na digrii ya MD au DO. Kuna mambo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.