Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Wana wa Adam.Napenda niwape somo fupi kuhusu mtu kunya mavi magumu au ukosefu wa kupata choo.Kwa mwanamme yeyote anaepata choo kigumu au hapati choo japo anakula watu hawa huwa HAWANA NGUVU ZA KIUME na kwa wanawake wengi wao wakizaa huzaa watoto ambao mara nyingi huwa dhaifu na magonjwa mengi hasa ya tumbo na wengine hupoteza hata maisha.Hakuna dawa za nguvu za kiume bali tumbo linapokuwa safi na mashine lazima iwe na nguvu.Ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi husababisha malendamalenda kama kamasi ambazo unapokuwa nazo tumboni basi na jogoo hawezi kuwika na akiwika anakuwa dhaifu goli moja la kichovu au hufanyi mpaka unywe pombe au vishtua misuli.Inatakiwa upate dawa za kienyeji za kuharisha haya malendalenda na sio kuharisha ugali kwa maana wengi wana dawa za kuharisha ugali na sio malendalenda.USIIBIWE NA MTU HAKUNA DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ILA WATU HUCHANGANYA VIAGRA NA VUMBI NA HAWA WATU WANAZIDI KUANGAMIZA NGUVU ZA KIUME ZA WATU .Mimi sio mganga wakienyeji ila nimeyajua haya baada ya kupata matatizo na kupata dawa.