Ushauri wenu please,,

Ole Morwo

Senior Member
Jul 24, 2021
121
204
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Shida yangu iliyonileta apa kutaka ushauri kwenu Ni kua Nina mwanangu miaka 5 juzi katika kumchunguza niligundua Kuna meno mawili yanaota ndani ya haya ya kawaida. Hayo meno ya udogoni hayatingishiki bado yapo imara kama kawaida, je ni kweli hili linawezekana kuota jino juu ya jino kabla la awali alijango'ka? Ushauri wenu wajuvi na wataalamu
IMG-20220504-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom