Msaada! Mwenye ujuzi wa kusoma picha za X-Ray.

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,845
Reaction score
14,071
Eid Mubarak!

Mamaangu anasukbuliwa na mkono wake, ameenda hospital kaishiwa kupewa vidonge anameza kweli maumivu yanapungua ila akishamaliza dawa maumivu yanarudi! Last time nilimwambia akafanye X-Ray, akafanya x-ray na pia akaishiwa kupewa dawa tu.

Maumivu yameanza tena hapo ndo nikamwambia anitumia kwanza hizo picha za X-Ray aliyofanya ili nami nitafute kupata ushauri kwa shida hii apa kipi kinatakiwa kufanywa ili maumivu yaondoke?

Ahsanten.
IMG_20220504_144422.jpg
View attachment 2211261

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jaribu kupiga picha nyengine vizuri ukiinua hiyo film kwenye mwanga please!
 
Eid Mubarak!

Mamaangu anasukbuliwa na mkono wake, ameenda hospital kaishiwa kupewa vidonge anameza kweli maumivu yanapungua ila akishamaliza dawa maumivu yanarudi! Last time nilimwambia akafanye X-Ray, akafanya x-ray na pia akaishiwa kupewa dawa tu.

Maumivu yameanza tena hapo ndo nikamwambia anitumia kwanza hizo picha za X-Ray aliyofanya ili nami nitafute kupata ushauri kwa shida hii apa kipi kinatakiwa kufanywa ili maumivu yaondoke?

Ahsanten.View attachment 2211260View attachment 2211261

Sent using Jamii Forums mobile app
Piga picha vizuri, japo naona radius Ina shida M/3
 
Piga picha vizuri kisha tuma view zote za AP na Lateral
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom