Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ndugu zanguni habari, Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono...
9 Reactions
96 Replies
5K Views
Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n...
10 Reactions
64 Replies
7K Views
Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko. Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJf, Hivi ukitaka kusafisha tumbo kwa njia ya (kuharisha) kuna dawa gani au kinywaji gani kinafanya hio kazi haraka zaidi?
13 Reactions
318 Replies
106K Views
Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea...
0 Reactions
3 Replies
786 Views
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimelileta hapa kwenye Jukwaa la JF tusaidiane, Rafiki yangu ana mimba ya two weeks na Siku kadhaa hivi nataka kufahamu atapata mtoto mwaka huu au mwakani January coz Mimba imeingia 26 or 27...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba kuelimishwa utofauti wa CT scan na MRI
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Yaani nasemea kwa hawa wauza sumu ya panya huku mtaani /stendi kwenye matangazo ya biashaya yao utakuta anatangaza dawa ya muwasho maupele fangasi na sumu ya panya. Je!kwa hizi dawa za muwasho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba ushauri kuhusu tiba za ugonjwa huu na kama mtu anamfahamu aliyewahi kupona kwa njia yoyote ile anipe ushauri tafadhali.
2 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari hapa Wandugu! Kuna kauli ipo ya kwamba ukiachana na lile goli la kwanza la mbegu za kiume haya mengine yanayofuata hayawezi sababisha kupata ujauzito kwa Mwanamke. Je, ni Sahihi? Na...
2 Reactions
9 Replies
26K Views
Watalamu hii milio ya tumboni uwa ni dalili za nini? Maana inakuwa kama kuna kitu kinatoa sauti vile
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!! Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio...
11 Reactions
155 Replies
17K Views
Frech kiss ama unaweza kuita kupiga mate baina ya wapenzi kwa sekunde 10 huweza kupelekea mbadilishano wa bacteria mbali mbali zaidi ya million 80. Baadhi ya madhara yake NI pamoja na...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu jino linaniuma na fizi zimevimba upande mmoja shida inaweza ikawa ni nini?? Naogopa isije ikaleta shida
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Wakuu Habari…. Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarin wakuu, Hivi hizi rapid test huwa zinaweza onesha majibu sahihi baada ya mda gani after exposure.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mdogo wangu alikua anawasha moto wa mkaa cheche za mkaa zimerukia kwenye mboni ya jicho sasa kamejitokeza kadoti keupe kenye ukubwa kama nukta(.) Anasema anasikia maumivu kwa mbali. Kwa taarifa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa, matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani...
4 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom