Amani wanahuduma nzuri, ila ushauri wangu ni vyema umpeleke hospital kubwa ya serikali atapata huduma nzuri zaidi, cha muhimu jenga connection mapema upate doctor atakayekusaidia na wapo tu ukiwataka, nimejifunza hizi hosp za binafsi linapokuja suala la uzazi wanakuaga kibiashara zaidi, muda mwingine wanalazimisha upasuaji kwakuwa wanapata pesa zaidi, mke wangu tulifanya klinik kwenye private hosp, kwa situation yake ilibidi tuonane na specialist wengi kwenye hospital binafsi tofauti na wengi walishauri ajifungue kwa upasuaji na tulikubali, ila akiwa wiki ya 32 tulienda Kliniki kufika tukakuta yule dokta wetu anadharura ikabidi tuingie kwa dokta aliyekuwepo, kiukweli Yule dokta kama aliletwa na Mungu, alitusikiliza na akacheki record akampima kisha kwa hali ya mjamzito hana haja ya kufanyiwa operation akasema yeye ni wa Muhimbili pale kaja parttime akatupa kikaratasi akasema next session twende Klink Muhimbili, kifupi mke wangu alijifungua salama bila upasuaji, na akanishauri kuwa gov hosp ni bora kuliko private kikubwa tafuta watu sahihi, naamini atajifungua poa, I wish her all the best hope atakuwa poa yeye na mtoto.