Je, kuna tiba mbadala ya kansa?

Ndio,zipo.
Ila kuwapata hawa nguli wa herbs ndio mtihani.
I know 1 elder hapa nnapoishi,inasadikika kuwa anajua hizo dawa.
 
Kama alivyosema mdau hapo juu kuhusu Dr. Sebi aliweza kutibu baadhi ya wagonjwa wa kansa kwa theory yake kula alkine foods kwamba unatakiwa ule alkaline foods yani vyakula vyote vitakavyofanya ph yako iwe juu ya 7, hapa matunda na mboga mboga ndio zinahusika sana bila kusahau kunywa maji yakutosha kila siku, kwa sababu kansa inapendelea mwili ambao ni acidic sana na hii hali ya acidic inachangiwa sana na vyakula + vinywaji vyote vya viwandani bila kusahau sigara ambazo zimekua zina kemikali kwa kiasi kikubwa kutokana na njia za utengenezaji hadi uhifadhi
 
Mcheki DR.SEBI...
Mimi hapa ni Mwanafunzi wa RIP Dr.Sebi Ninaweza kukutibu hiyo kansa ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa What's App +905013460377 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
DR.SEBI.jpg
 
Kama alivyosema mdau hapo juu kuhusu Dr. Sebi aliweza kutibu baadhi ya wagonjwa wa kansa kwa theory yake kula alkine foods kwamba unatakiwa ule alkaline foods yani vyakula vyote vitakavyofanya ph yako iwe juu ya 7, hapa matunda na mboga mboga ndio zinahusika sana bila kusahau kunywa maji yakutosha kila siku, kwa sababu kansa inapendelea mwili ambao ni acidic sana na hii hali ya acidic inachangiwa sana na vyakula + vinywaji vyote vya viwandani bila kusahau sigara ambazo zimekua zina kemikali kwa kiasi kikubwa kutokana na njia za utengenezaji hadi uhifadhi
Huyu Dr. Sebi ni nani ??!!
personally na anapatikana wapi!!!!
 
Tusidanganyane....Cancer ina stage zake...kila stage ya kansa ina behaviour yake....Stage 0-1 inatibika kabisa na kupona..ila Stage zilizobaki kupona inakuwa shida kidogo kuwa kansa inakuwa tayari imeshasambaa(metastasize)....

Wanasanyansi wapo maabara kila siku wakijaribu kutafuta tiba bora zaidi ya kansa pamoja na ku-study Pathophysiology ya Cancer Cells....

Ndugu zangu tusidanganyane na miti shamba...kama unadalili za kansa wahi mara moja kuchunguzwa na ikiwezekana anza tiba mara moja..

Wagonjewa wengi Ocean Road wanafika wakiwa wapo kwenye stage za mwisho..ambapo ugonjwa unakuwa mgumu kutibika....sababu kubwa ya wao kuchelewa mpaka kufikia hatua hiyo wanakwambia, walikuwa wanatumia miti shamba, maombi na waganga wa kienyeji
 
Huyu Dr. Sebi ni nani ??!!
personally na anapatikana wapi!!!!
A SOCIETY THAT KEEPS CURES A SECRET SO THE CAN CONTINUE TO SELL MEDICATION FOR HUG PROFITS.jpg

RIP Herbalist Professor Dr.Sebi ni Mtaalam Bingwa wa Ma-Daktari wa Dawa za Asili Duniani ni mtu kutoka nchini Honduras. Na Ndie mtu wa kwanza kutibu Karibu maradhi yote Sugu yasiyotibika Ma-Hospitali kama Maradhi ya Ukimwi, AIDS/HIV Kisukari,Saratani,Hepatitis B Virus,Arthritis, Lupus, Herpes Simplex Virus na Parkinson's Disease.Na ndio ni Mwalimu wangu mimi RIP DR.Sebi Mungu amlaze pema peponi amin Mwalim wangu RIP Dr.Sebi
 
Kansa inatibika hata iwe stage 4 ila inabidi ubadili life style kabisa hasa utumiaji wa vyakula vya sukari nyingi maana hivyo ndio vichocheo vya ukuaji wa kansa

Mimi ni mmoja wa waliowahi kuipata mkuu na ilikuwa stage ya nne nilikula chemotherapy za kutosha cycle kama nane hivi pamoja na maombi ya kutosha Mungu mkubwa nilisurvive na leo niko poa kabisa ila pamoja na chemo nilikuwa napiga juice hiyo ni mbaya lkn ilinisaidia maana kansa ile iliharibu uzalishaji wa damu ilikuwa haiongezeki kwa hiyo ile juice ilikuwa inasaidia kuongeza pamoja na kuzuia mauvimbe ni nzuri sana maana pia inaongeza kinga na kufight cancer cells ni mchanganyiko wa red cabbage, apples, zabibu, kuna viazi vyekundu hivi nimevisau jina na carrots unablend kuna blenda zinasaga na kuchuja unagonga asubuhi na jioni ilinisaidia sana na pia juice ya stafeli nayo nilikunywa sana nina kliniki ocean road lkn nilikuwa naenda wakipima wanasema hamna kitu mwisho wakasema wewe katulie tu mpk siku usipojisikia vizuri ndio urudi ila huu ni mwaka watatu nipo vizuri hata nimesahau kama niliwahi kuumwa
 
Tusidanganyane....Cancer ina stage zake...kila stage ya kansa ina behaviour yake....Stage 0-1 inatibika kabisa na kupona..ila Stage zilizobaki kupona inakuwa shida kidogo kuwa kansa inakuwa tayari imeshasambaa(metastasize)....

Wanasanyansi wapo maabara kila siku wakijaribu kutafuta tiba bora zaidi ya kansa pamoja na ku-study Pathophysiology ya Cancer Cells....

Ndugu zangu tusidanganyane na miti shamba...kama unadalili za kansa wahi mara moja kuchunguzwa na ikiwezekana anza tiba mara moja..

Wagonjewa wengi Ocean Road wanafika wakiwa wapo kwenye stage za mwisho..ambapo ugonjwa unakuwa mgumu kutibika....sababu kubwa ya wao kuchelewa mpaka kufikia hatua hiyo wanakwambia, walikuwa wanatumia miti shamba, maombi na waganga wa kienyeji
Mimi ninatibu kansa ya aina yoyote ile hata iwe Kansa stage 4 ya mwisho kabisa ninaweza kuitibu na mtu akapona. Hakuna Maradhi aliye yaumba Mungu yasiyo kuwa na dawa yake.
 
Kansa inatibika hata iwe stage 4 ila inabidi ubadili life style kabisa hasa utumiaji wa vyakula vya sukari nyingi maana hivyo ndio vichocheo vya ukuaji wa kansa

Mimi ni mmoja wa waliowahi kuipata mkuu na ilikuwa stage ya nne nilikula chemotherapy za kutosha cycle kama nane hivi pamoja na maombi ya kutosha Mungu mkubwa nilisurvive na leo niko poa kabisa ila pamoja na chemo nilikuwa napiga juice hiyo ni mbaya lkn ilinisaidia maana kansa ile iliharibu uzalishaji wa damu ilikuwa haiongezeki kwa hiyo ile juice ilikuwa inasaidia kuongeza pamoja na kuzuia mauvimbe ni nzuri sana maana pia inaongeza kinga na kufight cancer cells ni mchanganyiko wa red cabbage, apples, zabibu, kuna viazi vyekundu hivi nimevisau jina na carrots unablend kuna blenda zinasaga na kuchuja unagonga asubuhi na jioni ilinisaidia sana na pia juice ya stafeli nayo nilikunywa sana nina kliniki ocean road lkn nilikuwa naenda wakipima wanasema hamna kitu mwisho wakasema wewe katulie tu mpk siku usipojisikia vizuri ndio urudi ila huu ni mwaka watatu nipo vizuri hata nimesahau kama niliwahi kuumwa
Naweza pata mawasiliano yako ya whatsapp ?!!
 
View attachment 619532
RIP Herbalist Professor Dr.Sebi ni Mtaalam Bingwa wa Ma-Daktari wa Dawa za Asili Duniani ni mtu kutoka nchini Honduras. Na Ndie mtu wa kwanza kutibu Karibu maradhi yote Sugu yasiyotibika Ma-Hospitali kama Maradhi ya Ukimwi, AIDS/HIV Kisukari,Saratani,Hepatitis B Virus,Arthritis, Lupus na Parkinson Desease.N a ndio ni Mwalimu wangu mimi RIP DR.Sebi Mungu amlaze pema peponi amin Mwalim wangu RIP Dr.Sebi
Sasa kama anatibu magonjwa sugu yote, yeye alikufa kwa ajali????
 
Tusidanganyane....Cancer ina stage zake...kila stage ya kansa ina behaviour yake....Stage 0-1 inatibika kabisa na kupona..ila Stage zilizobaki kupona inakuwa shida kidogo kuwa kansa inakuwa tayari imeshasambaa(metastasize)....

Wanasanyansi wapo maabara kila siku wakijaribu kutafuta tiba bora zaidi ya kansa pamoja na ku-study Pathophysiology ya Cancer Cells....

Ndugu zangu tusidanganyane na miti shamba...kama unadalili za kansa wahi mara moja kuchunguzwa na ikiwezekana anza tiba mara moja..

Wagonjewa wengi Ocean Road wanafika wakiwa wapo kwenye stage za mwisho..ambapo ugonjwa unakuwa mgumu kutibika....sababu kubwa ya wao kuchelewa mpaka kufikia hatua hiyo wanakwambia, walikuwa wanatumia miti shamba, maombi na waganga wa kienyeji
kwani kabla ya vidonge na moinzi watu wa zamani walikuwa wanajitibu na nini---kama si miti shamba?
 
Back
Top Bottom