Doxy (Doxycycline): Indications, Treatment, Guidelines, FAQs & more

Doxy (Doxycycline): Indications, Treatment, Guidelines, FAQs & more

shubham13

New Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Doxycycline or Doxy is an Antibiotic used to treat various bacterial infections such as Cholera, Viral Infections, Infertility associated with STD, and more
 
Hivi vidonge navitumia sana kutibu tatizo langu la vipele kichwani japo haivimalizi moja kwa moja.
 
Dawa ipo poa sana , almost ishu nying za bacteria infections inatibu including gonorrhea
 
Dawa ipo poa sana , almost ishu nying za bacteria infections inatibu including gonorrhea
Ata mimi nlitumia nilivyoambukiwa gono, sikuamini kama ntapona kwa vidonge maan nilikua najua njia ya kutibu ni sindano pekee

Doxy is the best
 
Ata mimi nlitumia nilivyoambukiwa gono, sikuamini kama ntapona kwa vidonge maan nilikua najua njia ya kutibu ni sindano pekee

Doxy is the best
Yah pia ukizingatia wadau humu kwenye Uzi zilizogusia hilo wanakomaa dawa ni sindano na vidonge aina zingine tofauti
 
Back
Top Bottom