Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar:
-Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu.
-Licha ya semester kuwa...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa...
Nipo ugenini kikazi na kwa mazingira tuliyofikia, mimi na rafiki yangu tumepewa makazi yenye chumba kimoja chenye vitanda viwili.
Lakini siku ya pili hii tangu tumefika imefkuwa kero, rafiki ana...
Tooth pain does not stay in one place.
The reason is neurological.
Your teeth are connected to the trigeminal nerve — the largest sensory nerve in the face. This nerve has three major branches...
Kuna dhana kuwa baadhi ya vidonge vya dharura ambavyo vinatumiwa na watu kupanga masuala ya Uzazi wa Mpango mfano P2 na vingine, wapo Watu wanadhani vinatumika pia kutoa mimba, hiyo dhana ni...
Unaweza kutumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba, hiyo ni haki yako kama ilivyo kuwa ni haki yako kuchagua aina ya njia ambayo inafaa zaidi kwako.
Upande mwingine kuna dhana...
Katika ukuaji wangu sikuwa naugua ugonjwa wa tonsils mara kwa mara ilikuwa inatokea kwa nadra sana.
Miaka mitano nyuma nilikuwa kikazi ukanda wa nyanda za juu kusini kikazi ndio ugonjwa wa tonsils...
Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini...
Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua.
Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya...
Vipimo vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua...
Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma...
Wakuu nisaidieni, nina tatizo la kusahau haraka haraka vitu ninavyovisoma. Vile ninavyovisikia na kuviona huwa sivisahau.
Yaani nikishamaliza kusoma sentensi huwa nasahau hapo hapo. Hadi nirudie...
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka...
Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8...
Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv.
Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na...
Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye...
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.