Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital...
0 Reactions
5 Replies
359 Views
Habari Ma doctor Wa JF Stori ni ndefu nifupishe kiasi Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku...
6 Reactions
24 Replies
700 Views
Utoaji mimba usio salama ni mojawapo ya changamoto ya kiafya ambayo kwa Tanzania haiwekwi wazi kutokana na mazingira, Sheria na taratibu zilizopo nchini pamoja na ukosefu wa elimu ya afya ya...
2 Reactions
6 Replies
424 Views
Naomba kuuliza kipimo Cha moyo ni bei Gani? Asante
3 Reactions
14 Replies
293 Views
Naomba tumsaidie annzie wapi vipendhy
7 Reactions
24 Replies
333 Views
Kutokana na kuumwa na kila kitu bila kujua tatizo nn nimejisogeza hosptal katika vipimo nikaambiwa damu ni nyingi km 18.8 lkn nikaambiwa nina h-pylori na mm siumwi tumbo naomba kueleweshwa juu ya...
3 Reactions
1 Replies
168 Views
Habari za mchana. Nimekuwa nikikutana na video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, hususan mtandao unaokua kwa kasi wa TikTok, zinazoonesha baadhi ya watu wakiogeshwa mkojo, wengine wakinywa...
9 Reactions
23 Replies
579 Views
  • Featured
Pia soma Visa vya UVIKO-19 vyaongezeka nchini, Dar es Salaam ikiwa kinara
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Anonymous
Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Vituo vya Kutoa Huduma za Afya (GoTHOMIS) unaotumika hospitali unasumbua sana, unakuta mgonjwa anasubiri for 2 hours hadi kuja kupata huduma. Kama wanakuwa...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana. Miaka mitatu baada...
3 Reactions
5 Replies
299 Views
Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa...
5 Reactions
43 Replies
727 Views
Nimeambiwa mkojo mchafu kidog0, nimeandikiwa dawa ila kwa kweli sijanunua izo dawa nipeni tu njia za kusafisha mkojo kama zipo.
7 Reactions
45 Replies
925 Views
Wataalam wa afya; hebu tusaidieni kuelewa ugonjwa huu
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Habari wanaJamiiForums, Nimepata changamoto kwa mzazi wangu kwa kusumbuliwa na uvimbe katika koo na tulivyoenda hospitali ya taifa Muhimbili alifanyiwa kipimo kinachoitwa (OGD) ni kipimo hatara...
1 Reactions
34 Replies
11K Views
Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita...
6 Reactions
16 Replies
462 Views
Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya! Mbaya zaidi...
17 Reactions
126 Replies
2K Views
Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona. Mwenye tiba ya huu ugonjwa...
1 Reactions
10 Replies
386 Views
Macho yalikuwa yananivuta sana na wakati mwingine kichwa kinauma. Nilienda kupima, daktari akaniambia yamepoteza uwezo wa kuhimili mwanga mkali kama TV, simu, PC na jua. Nimeanza kutumia miwani...
6 Reactions
41 Replies
631 Views
Back
Top Bottom