GLOOMY
Member
- Jul 24, 2019
- 38
- 102
Awali ya yote, nawasalimu.
Nimeleta hii maada kwenu ni baada ya maumivu makali moyo wangu umeyabeba,na thamani ya maisha siioni tena na sioni haja ya kupalangana na maisha kabisa.
Nimeoa miaka 2 iliyopita,sijabahatika kupata mtoto,mwaka Jana nilifunga safari kwenda Bugando kufanya SPERMS ANALYSIS, majibu yakaja kwamba nilikuwa na low sperm count.
Juzi nimerudi tena Bugando kupima kipimo kile kile jibu nimeambiwa no sperm count (0)
Niliporudi kwa Dr akashauri nikubaliane na hali kwani sitoweza kupata mtoto kabisa.
Najaribu kuupokea ushauri lakini naumia na sijui nini nifanye.
Ombi langu kwenu wa jamii hii
1. Kama juna Dr mtaalamu naomba mawasiliano au connection naye tafadhali
2. Kama kuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo,na bi uhakika niko tayari kuifuata
N.b. nimelileta kwenu kupunguza maumivu hasa kwa kunifariji, kunishauri na ikiwezekana kunisaidia.