Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?
Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.
Au...
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.
Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali...
Wana Jf Kuna tukio ambao lina ni athiri nashindwa kulisahau yeyote anaeweza nifanyia cancelling nitashukuru mno tukio la ajari lilolopelekea kifo cha mtu muhimu kwangu
Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo).
Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na...
Unjiti ni hali ya Mtoto kuzaliwa kabla ya Wiki ya 37 ya Ujauzito kutokana na Sababu Mbalimbali ikiwemo Mjamzito kupata Uchungu wa Mapema.
Watoto hawa huzaliwa na Changamoto nyingi zinazohitaji...
Hello guys hopefully your fine,,, Naombeni mnisaidie nasumbuliwa na Tatizo la kifuaa kuuma hasa kati kati ( Sternum) maumivu nayapata wakati nikifanya any Chest movement au wakati wa kujigeuza...
Hiki kitu nimekikumbuka leo, kwa wahenga, Nakumbuka zamani miaka ya 1990 kurudi nyuma na kuendelea kulikuwa na hii Hospitali ya dini ya kanisa katoliki pale Iringa mjini, kitongoji cha kihesa...
Wakuu poleni majukumu.
Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto.
Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba?
Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka...
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa ambao unanichanganya sana na nimedumu nao kwa miaka 12 sasa. Mwili kuwaka moto na maumivu kwenye kifua. Mara nyingi huanza maumivu makali kwenye kifua, si kubana...
Nina matatizo ya kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto na kichwa kushika ganzi kwa ndani kama kinachoma choma kimekamatana nakion kidogo ila kifua tangu mwezi wa saba kinawaka moto nimetumia...
Wanabodi, heshima mbele..
Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa...
Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30...
Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati
Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa.
Awali kulikuwa na tatizo la...
Respberry ni aina ya matunda yenye umbo dogo na yenye kufanana na strawberry [emoji526].Mara Hujuotea yenyewe porini au vichanakani Lakini pia mmea huu unaweza kuoteshwa nyumbani kwako.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.