Msaada daktar bingwa Endocrinologist

Msaada daktar bingwa Endocrinologist

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,918
Reaction score
4,709
Habar wakuu naomba msaada wadaktar bingwa Endocrinologist mzuri kwa dar au sehemu yoyote nateseka na thyroid kwa miezi 7 sasa
 
Polee mkuu... Mbona MNH kuna ma specialist wa endocrinology... Na ulisema unafanya clinic zako huko.. Au ??
 
Back
Top Bottom