Kchwa kuuma upande mmoja

Kchwa kuuma upande mmoja

bben

New Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1
Reaction score
1
wadau nini husababisha kichwa kuuma upande mmoja....nini tiba yake? naomba anaejua tafadhali
 
Yap jaribu kunywa Maji mengi na kupata hewa ya kutosha bila kusahau kupumzika mda mwingi
 
Habari wadau,

Wakuu kila siku mida ya saa 3 hadi saa 5 hivi asubuhi kichwa kinauma sana, upande wa kulia kwa mbele, yaani kinauma nusu kuzunguka jicho la kulia, pua ya kulia na kwa nyuma hakifiki kwenye sikio wala kichogo, hafu maumivu yake yana ongezeka na kupungua hayawi ya moja kwa moja, aisee ila panauma balaa, natumiaga panadol, ila kila siku naona sio vizuri, maana week ya 2 hii sasa,

Niliambiwa ni dalili ya maralia nikapima nikakutwa na maralia 4 nikameza dawa metakeflin, week lililopita, yule muuza dawa akasema week ijayo (hii) nirudie, ila bado sijanywa. Tatizo langu mimi ni kichwa tu, maji nakunywa sana kwa siku kama lita 1 na nusu maji tu, sifanyi kazi kwenye jua wala kazi yangu haiusishi kuweka vitu kichwani, labda kufikiria sana tu, tatizo ni nini hapa?

Dawa ni nini?
 
Wahi hospitali fasta wakupime damu. Sasa hivi watu wengi wana tatizo la kuchafuka damu na linasababisha kichwa kuuma sana!
 
Hyo n migraine headache yan kipandauso sometimes kitaalam waiita cluster headache.Dawa yake ni vasograin/ergometine maleate unameza 600mg wakati wa kulala for 5 to 10 days then kitatulia
 
Pole metakefin kwa miaka hii ni sumu; haitibu malaria wala nini, sana sana inakuletea infection usishangae hata ukakuta macho yamegeuka na kuwa na kengeza moja la ajabu.

Ilinitokea siku za karibuni. Nilienda kuponea ccbrt.
 
Hyo n migraine headache yan kipandauso sometimes kitaalam waiita cluster headache.Dawa yake ni vasograin/ergometine maleate unameza 600mg wakati wa kulala for 5 to 10 days then kitatulia

Asante kaka naenda anza leo dozi kaka
 
Siamini mtu unasema symptoms alafu unaandikiwa dawa online na wewe unaenda pharmacy kununua bila vipimo.
Hehehe msiamini sana internet kwa maswala ya afya, anayeandika upande wa pili unamuamini kwa lipi hasa?

Internet itumie kwa kuangalia jinsi ya kula vizuri, kufanya mazoezi, kuishi healthy in general ila sio una tatizo la kiafya unatafuta solution, kuna hospitali zimejaa watu wamesoma miaka na miaka kwa ajili ya matatizo kama yako. Tatizo likikua utashika adabu, nlikua na tatizo nikajifanya mjanja hivohivo nikapewa solution online mwisho wa siku i made it worse, sijarudia tena ujinga.
 
Unawez kwenda hospital ukakutana na daktari aliye kushauri hapa mtandaoni sababu nao ni watu na tunao humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom