Afya Tips: Ujue Mmea wa Respberry na faida zake kwa afya yako.

Dr James G

Senior Member
Oct 16, 2016
147
242
Respberry ni aina ya matunda yenye umbo dogo na yenye kufanana na strawberry .Mara Hujuotea yenyewe porini au vichanakani Lakini pia mmea huu unaweza kuoteshwa nyumbani kwako.

Ni Mekundu kwa rangi yanapoanza kukua Kisha yakikomaa huwa Meusi na ni matamu yenye ladha nzuri.

IMG_0925.jpg

FAIDA

Mmea wa Respberry una faida nzuri ktk mwili wa binadamu endapo utatumika kama tiba ,matunda na majani yake yote ni tiba ya matatizo mbali mbal kwa mwili wa binadamu

1.Respberry husaidia mama Mjamzito kujifungua salama na kupunguza Maumivu wakati wa kujifungu

2.Husaidia kupunguza joto la mwili

3.Katibu vidonda mdomoni

4.kudafisha vidonda

5.kuondoa muwasho wa ngozi.

MATUMIZI

Majani /Matawi ya Respberry

Mama mjamzito anaweza kuchemsha majani ya respberrry na kutumia kama chai wakati wote wa ujauzito wake lkn zaid miezi ya mwisho anapokaribia kujifungua anaweza kunywa kikombe kimoja had viwili kwa siku hii inaweza kumsaidia kujifungua salama na kupunguza maumivu wakati wa kujifungua.

Chai ya majani ya respberry ni mazuri kwa kuondoa vidonda vya mdomoni na kusafishia majeraha ya vidonda ktk mwili.

Kwa mtu anayewashwa ngozi anaweza kuogea maji yaliyochemshwa kwa majani ya raspberry ili kuondoa muwasho wa ngozi .

MATUNDA

Matunda ya respberry unaweza kuyatengeneza kama juice Kisha katika kikombe kimoja cha chai unaweka na Asali Mbichi vijiko 2 kwa ajili ya kupunguza homa na joto kali la mwili .

IMG_0925.jpg

Hii ndo respberry dawa inayojiotea yenyewe porini
 
Attachments

  • IMG_0925.jpg
    IMG_0925.jpg
    42.4 KB · Views: 13
Respberry ni aina ya matunda yenye umbo dogo na yenye kufanana na strawberry .Mara Hujuotea yenyewe porini au vichanakani Lakini pia mmea huu unaweza kuoteshwa nyumbani kwako.

Ni Mekundu kwa rangi yanapoanza kukua Kisha yakikomaa huwa Meusi na ni matamu yenye ladha nzuri.

View attachment 2627555

FAIDA

Mmea wa Respberry una faida nzuri ktk mwili wa binadamu endapo utatumika kama tiba ,matunda na majani yake yote ni tiba ya matatizo mbali mbal kwa mwili wa binadamu

1.Respberry husaidia mama Mjamzito kujifungua salama na kupunguza Maumivu wakati wa kujifungu

2.Husaidia kupunguza joto la mwili

3.Katibu vidonda mdomoni

4.kudafisha vidonda

5.kuondoa muwasho wa ngozi.

MATUMIZI

Majani /Matawi ya Respberry

Mama mjamzito anaweza kuchemsha majani ya respberrry na kutumia kama chai wakati wote wa ujauzito wake lkn zaid miezi ya mwisho anapokaribia kujifungua anaweza kunywa kikombe kimoja had viwili kwa siku hii inaweza kumsaidia kujifungua salama na kupunguza maumivu wakati wa kujifungua.

Chai ya majani ya respberry ni mazuri kwa kuondoa vidonda vya mdomoni na kusafishia majeraha ya vidonda ktk mwili.

Kwa mtu anayewashwa ngozi anaweza kuogea maji yaliyochemshwa kwa majani ya raspberry ili kuondoa muwasho wa ngozi .

MATUNDA

Matunda ya respberry unaweza kuyatengeneza kama juice Kisha katika kikombe kimoja cha chai unaweka na Asali Mbichi vijiko 2 kwa ajili ya kupunguza homa na joto kali la mwili .

View attachment 2627555

Hii ndo respberry dawa inayojiotea yenyewe porini
Unalinganishaje hii Raspberry na Mulberry (kiswahili: mforosadi)?
 
Back
Top Bottom