Nina tatizo la kifua kuwaka moto, naomba ushauri

Pregabalin

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
556
250
Nina matatizo ya kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto na kichwa kushika ganzi kwa ndani kama kinachoma choma kimekamatana nakion kidogo ila kifua tangu mwezi wa saba kinawaka moto nimetumia dawa mbali mbal antbiotic hakipon man nilichek x ray niliambiw kuna mikwaruzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom