Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Kama mada inavyo jieleza hapo juu. Nitakilibani wiki ya nne sasa tangu nipatwe na maradhi haya. Ambapo nimekuwa nikipata muwasho eneo la uume, ukiambatana na ngozi kukakamaa pamoja na...
8 Reactions
151 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda...
6 Reactions
108 Replies
11K Views
Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia kama vile labda mishipa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Salam wote Wana JF, Niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Nimegundua siku hizi uume wangu hausimami kabisa ninavyolala ukiwa umelala ndiyo ninavyoamka ukiwa umelala. Nashindwa kuelewa tatizo ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu last week nilikuwa na dalili za vidonda vya tumbo so kuna mzee mmoja mtaalam wa madawa ya mitishamba akanishauri kuwa nitumie bamia kwa wingi kwani huwa zinaleta utelezi tumboni...
9 Reactions
106 Replies
82K Views
Habari wakuu, Naomba kueleimishwa naona kila mwanaume anasema alipata gono Toka kwa mdada flani baada ya kufanya nae mapenz. Naomba kueleimishwa nin Chanzo Cha gono kwa mwanamke yaan inakuaje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utangulizi Mada hii ina lengo la kuzungumzia tatizo la kuwa na hofu au wasiwasi uliopita kiasi au kwa kitaalamu Generalized anxiety disorder (GAD). Kwa ajili ya kutofautisha kati ya hofu...
1 Reactions
25 Replies
16K Views
Habari yako wewe unayesoma uzi huu. Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji msaada wenu, Mtoto wangu wa miaka 2 na miezi kaangukiwa na fimbo ya pazia toka juu ya jirisha. Fimbo imemuangukia kichwa katikati imemchana, msaada we wenu wa huduma ya...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu Ninaandika hapa nikiwa sina amani kabisa. Mwanangu wa kike miaka 7 anaumwa ugonjwa unaotutisha. Usiku akiwa amelala kuna muda anakoroma sana tena kwa muda mrefu. Yaani...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habarini wana Jamvi, Kuna binti kaweka kijiti miezi mitatu iliyopita. Cha ajabu ni kwamba hajaingia period kwa muda wote huo na ameshindwa kupata ufumbuzi wa hili. Nimelileta kwenu wataalam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja wapo ya faida ambayo ni muhimu ni kusaidia kumeng’enya sukari mwili au kuweka sawa mfumo wa sukari mwilini. Bamia ni aina ya tunda mboga lenye utajiri wa makapimlo ambayo ni muhimu sana...
12 Reactions
22 Replies
20K Views
Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji. Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman wanajamvi naomben mnifahamishe dawa nzuri ya tumbo kwa mwanangu, kuna mtu kanishauri nimpe gribwater na kuna mwingine kanishauri nimpe maji tu ya vuguvugu kweny kijiko cha chai. Tafadhal...
0 Reactions
12 Replies
64K Views
Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo. Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano...
1 Reactions
14 Replies
844 Views
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo... Maombi yenu please nipate ahueni...
8 Reactions
158 Replies
5K Views
Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na...
0 Reactions
3 Replies
671 Views
Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu haponi mafua kabisaaa pamoja na kutumia dawa tofauti. Wataalamu wa humu tunaomba maelekezo yenu yatakayomsaidia. Asanteni.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom