funda
Member
- May 9, 2020
- 16
- 5
Hello guys hopefully your fine,,, Naombeni mnisaidie nasumbuliwa na Tatizo la kifuaa kuuma hasa kati kati ( Sternum) maumivu nayapata wakati nikifanya any Chest movement au wakati wa kujigeuza pindi nimelala na wakati wa kuamka baada ya kulala mda mrefu ,, nimetembea hospital nyingi naku fanyiwa vipomo kama ECG , ECHO , Chest x-ray but siku onekana kuwa na tatizo lolote nikaishiwa kupewa dawa za Antpain ambazo hupunguza maumivu but sio kumaliza kabisaa . Naombeni ushauri wenu