Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona...
1 Reactions
3 Replies
743 Views
Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Maharage huwa na rangi na aina mbali mbali Binadamu wanakabiliwa na vitisho vingi, kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa, utapiamlo hadi kupanda kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
CHANZO CHA PICHA,NATASHA KERR Maelezo ya picha, NATASHA KERR Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, kufuatia vifo...
1 Reactions
0 Replies
732 Views
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu...
5 Reactions
66 Replies
31K Views
Nawasalimu wana JF wote, Nielekee moja kwa moja kwenye mada mimi nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na, "social anxiety disorder" na " loss of appetite" niwaombe msaada wenu Kwa hilo...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama. Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Swali: Kwa Daktari, eti mkopo wa HESLB unaweza kukuzuia kusomq specialization nje ya nchi?
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Habari zenu wana JF, Mimi ninasumbuliwa na maumivu ya jino kwa muda mrefu sasa,nimevulia kwa muda mrefu tatizo hili japo wengi wananishauri niende kwa doctor nikang'oe jino! Je, kuna...
1 Reactions
144 Replies
161K Views
Wanajf; naomba mnisaidie kwa wale wanaofahamu nini madhara ya kula/kutumia sana karanga na korosho? Kwani nimekuwa natumia karanga au korosho zilizokaangwa kila siku. Sasa naomba kwa wale wenye...
0 Reactions
22 Replies
45K Views
Wana JF. Kuna rafiki yangu ana mtoto mchanga, amekuja nimpatie ushauri na maelezo juu ya swala zima la kubemenda (Sina hakika kama ni neno rasmi). Hasa ningependa kujua 'mechanism' na njia...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Habari wapendwa? Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za Usubuhi! Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ufafanuzi juu ya faida na hasara za matumizi ya mchanganyiko wa ASALI NA PUNJE KADHAA ZA KITUNGUU SWAUMU mara kwa mara! Nn kaz yake mwilini na je kuna madhara yoyote juu ya...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!! Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI? KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula? Elezea na sababu za kisayansi kabisa
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom