Mwanaume anaweza kupata PID?

black jeus

Member
Oct 16, 2020
66
174
Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
 
Yes..

Kama una
1_ UKE (VAGINA)
2_UTERUS
3_FALLOPIAN TUBES
4_OVARIES
Nimecheka kinoma daaah, mwenzako anaweza asielewe 😂😂😂😂😂, mkuu mwambie mwenzio huu ugonjwa ni wanawake tu ahahaha ahahaha labda kwa hawa wanaume walofanya pusay implants 😂😂😂, ujue nlivyoona Yes alafu nikaona fallopian tubes na ovaries ikabid niwe mpole daah
 
😅Kuna muda inabidi kutumia Sarcastic language..
 
Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
Zingatia hiyo P ya kwanza yaani Pelvic.
mzee baba labda Uende Uturuki wakuwekee hilo dubwana ndio utaipata
 
😅Kuna muda inabidi kutumia Sarcastic language..
Ahahaha daah ila bado sijajua the root of the question in hand na ndio kilichonivutia kufungua huu uzi…ila sawa sawa kwenye process ya kujifunza kuna mambo mengi, isije kuwa ndugu yetu kadanganywa mtoto wa kiume anaumwa pid ili hela zimtoke ndio anawakamata watu wake saivi kwa kumdanganya
 
Mie nahisi huyu anaumwa yeye..

Ana Gono au kaswende.

Sasa anatafuta kuhakikisha je ni kati ya hayo mawili au PID?
 
Back
Top Bottom