Jicho la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,990
13,645
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumuona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la dawa, ila ni dawa za vitamini.

Nilitumia ila sikuona tofauti yoyote. Jicho lenyewe halina maumivu kabisa.

Niseme tu kwa sasa ni kama natumia jicho moja kuona na kuangalia. Jicho lenyewe linaona kama hivi..

View attachment 2826512
Msaada, kwa ushauri na matibabu pia.
 
Kwa muda wa miezi 3 sasa, hicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumwona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la dawa, ila ni dawa za vitamini.
Nilitumia ila sikuona tofauti yoyote. Jicho lenyewe halina maumivu kabisa.

Niseme tu kwa sasa ni kama natumia hicho moja kuona na kuangalia. Jicho lenyewe linaona kama hivi..

View attachment 2826512
Msaada, kwa ushauri na matibabu pia.
Hiyo ni cataract, Dawa ya yake ni oparesheni unawekewa lens artificial.
 
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumuona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la dawa, ila ni dawa za vitamini.

Nilitumia ila sikuona tofauti yoyote. Jicho lenyewe halina maumivu kabisa.

Niseme tu kwa sasa ni kama natumia jicho moja kuona na kuangalia. Jicho lenyewe linaona kama hivi..

View attachment 2826512
Msaada, kwa ushauri na matibabu pia.
Hawa madakitar uchwara watatuua jaman

Haujasema vizuri hauoni vizuri karibu au mbali au kote unaona hivohivo?
 
Ulienda Hospital gani na Ulikutana na Daktari wa kitengo kipi ?

Tatizo kam hilo huwa ni kitu serious sana fanya nenda kweny hospital za Rufaa na uulizie moja kwa moja kam daktari anayehusika na Macho yupo, kisha huyo ndo uonane nae na umuelezee tatizo lako,

Cha msingi hapo tafuta daktari anayehusika na macho pekee ndo atakusaidia tofaut na hapo ukienda kwa hawa madokta wengne wataishia kukupa dawa za matone mwshoe uwe kipofu kabsa.
 
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumuona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la dawa, ila ni dawa za vitamini.

Nilitumia ila sikuona tofauti yoyote. Jicho lenyewe halina maumivu kabisa.

Niseme tu kwa sasa ni kama natumia jicho moja kuona na kuangalia. Jicho lenyewe linaona kama hivi..

View attachment 2826512
Msaada, kwa ushauri na matibabu pia.
Una uhakika ulionana na daktari wa macho. Yawezekana ulikutana na CO akatumia hisia na uzoefu. Nenda kwa mtaalamu wa macho
 
Kama upo Dar es Salaam nenda CCBRT watafanya vipimo na kukupa matibabu sahihi, usichelewe maana hizo ishu zinaenda na muda ukichelewa sana wanaweza kukuambia hatuna cha kufanya
 
Ulienda Hospital gani na Ulikutana na Daktari wa kitengo kipi ?

Tatizo kam hilo huwa ni kitu serious sana fanya nenda kweny hospital za Rufaa na uulizie moja kwa moja kam daktari anayehusika na Macho yupo, kisha huyo ndo uonane nae na umuelezee tatizo lako,

Cha msingi hapo tafuta daktari anayehusika na macho pekee ndo atakusaidia tofaut na hapo ukienda kwa hawa madokta wengne wataishia kukupa dawa za matone mwshoe uwe kipofu kabsa.
Ahsante kwa ushauri. Nilienda hospitali ya st Fransis iliyopo hapa mjini ifakara. Dr niliyemwona ni dr wa macho. Na ana duka lake la miwani hapa mjini.

Kwa kifupi ndio dr anayetegemewa na hospitali kwenye kitengo cha macho
 
Dr mkuu. Dr wa macho kabisa. St fransis hospital hapa mjini ifakara.
Anaweza kuwa daktari mzuri ila miundombinu hapo hospitalini haiwezeshi. KCMC na CCBRT ndio hospitali zenye kutamkwa sana kwenye kesi za macho. Nadhani kwako itakuwa rahisi kuja CCBRT ila kwanza ukouko tembelea hospitali nyingine.
 
Back
Top Bottom