Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo).
Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa...
Hii video inaongelea madhara ya madawa ya kulevya. Mhandisi wa Mawasiliano Bob Williams. Alijifunza kutumia Crack Cocaine kutoka kwa mchumba wake wa kwanza. Anadai kuwa alitumia dola 50,000 katika...
Kuna vitu wenzetu mnatumia au ndo inatokea tu kama mambo mengine yanavyotokea kwa ntu kwa ntu?
Napiga mswaki kama kawaida kwa hizi dawa za kawaida kolgate, whitedent...lakini naona nakoelekea...
TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL (TNMC)
Kwanza Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kuwakumbusha wauguzi na wakunga wajibu wao, nadhani ni vizuri na nyie kama chombo kinachosimamia...
Bila shaka hamjambo na wale mnaoumwa nawatakia afya njema.
Baada ya salamu naomba niwasilishe mada muhimu mahususi kwa vijana ambao ni mustakabali wa taifa letu. Tafadhali soma yote itakufaa...
Miaka ya nyuma nikiwa chuo nilikuwa nasumbuliwa na meno kuuma hasa baada ya kutafuna nyama. Pia nilkuwa nikila mua tu naona damu zinatoka kwenye vizi. Muda mwingine hata nimechill maumivu ya...
Kuna aina ya miwasho ambayo ni mikali mno katika sehemu mbali mbali za mwili kwa maana haitibiki kirahisi na inasumbua kwa muda mrefu kweli.
Dawa kama predilone na cetrizine wala tube za kujipaka...
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa...
Mimi nakunywa konyagi ndogo 250 mls kwa siku, tena nakunywa na maji lita moja kwa pamoja.
Nakunywa kidogo kidogo kwa masaa matatu kutoka saa moja usiku mpaka saa nne usiku, nachangamka kidogo...
Habari wapenzi! Umri wangu miaka 29 nina tatizo la kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku yaani siku nyingine naweza aamka hata mara nne kwenda kukojoa na hii hali ni tangu utotoni. Mama yetu...
Habari za muda huu wananzengo, bila shaka mko Salama na mnaendelea na shughuli za kujijenga
Nilikuwa nataka kufahamu kuhusu huduma hii ya bima ya afya Kwa sisi watu binafsi inapatikanaje. Mwenye...
Kwema Ndugu zangu,
Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote.
Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi...
Hey members habari za mchana
Naomba kufahamu hospital nzuri ya macho ya serikali maana nahitaji kupima macho (color blindness), na uoni na gharama zake itapendeza zaidi
Mchana mwema
Kwa. Dar
Habari Mimi ni mwanaume naombeni msaada Kuna mwanamke nilikutana nae nikafanya nae mapenzi kwa Sasa ninapata maumivu wakati wa kukojoa pia maumivu chini ya kitovu na pia wakati wa kukojoa, pia...
Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.