Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wapendwa tusaidiane kidogo mbona madada wengi wamejaliwa hizi sehemu lakini ukija kwa wanaume kweli wengi wamepata bahati mbaya ya kuwa bapa ama mbinuko kabisa swali langu ni utengenezaji kwenye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
The nose has a left and a right side; we use both to inhale and exhale. Actually they are different; you would be able to feel the difference. The right side represents the sun, left...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Answer the phone by LEFTear. Do not drink coffee TWICEa day. Do not take pills with COOLwater. Do not have HUGEmeals after 5pm. Reduce the amount of OILYfood you consume. Drink more WATERin the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu Kuna tuhuma kwamba wagonjwa wanaopelekwa nchi za nje kwa ajili ya matatibu haswa kwa njia ya misaada huwa wanan'golewa viungo vyao kama figo na vingine kwa visingizio kwamba viungo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida tunashauriwa kupiga mswaki baada ya kula.ila kwa asilimia kubwa watanzania tulio wengi husukutua mdomo na sio kupiga mswaki.swali ni kwamba yale maji uliyotumia kusukutulia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada kwa anyefahamu dk. bingwa wa magonjwa ya watoto wachanga kwa hapa DSM anielekeze tafadhali. asanteni
1 Reactions
7 Replies
13K Views
Habari ndugu wana jamiiforum..Naomba niulize swali,hv inachukua dakika ngapi kwa mwanaume alie rijali kuanza tendo la pili la ndoa baada ya kufika kileleni mara ya kwanza.Mara ya mwisho...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Pregnant drinking 'affects sperm' By Emma Wilkinson Health reporter, BBC News, in Rome The relationship between drinking and sperm quality is not clear Women who drink during pregnancy may be...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni vyema kwa wale walio na uelewa mzuri wa huu ugonjwa ulioibuka wa DENGE kushare masuala muhimu ili kuikinga jamii. Masuala kama ya visababishi vya ugonjwa, dalili za ugonjwa, kinga za ugonjwa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
http://awr.org.s3.amazonaws.com/audio/africa/SWAMO/AWR/podcast/SWAMO_AWRX_20100623_4.mp3
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada hata wa mawazo niweze kumsaidia ndugu yangu ambaye kansa inamsumbua Mwanzo ilikuwa breast cancer, surgery ikafanyika ocean road hospital ikifuatiwa na matibabu mengine kama...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajf, napenda niwape adhari za kufanya oral sex kwa wanaume na wanawake, kuna baadhi ya wapenzi hupenda kunyonyana sehemu za siri aidha uumeni au ukeni na wengine huenda mbali zaidi na kunyonya...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
If you are dressed in a size twelve and spend thousands on fashionable size 8 clothing as support with your hard earn pay, you will suffer very quilty, annoyed, aggravated, piss off at the end of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninaishi na mdogo wangu,hana tatizo la kukojoa kitandani,lakini akiamka mashuka yamelowa kwa shahawa zinazomtoka akiwa usingizini.Tatizo ni nini?
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Utibabu wa maradhi ya Cancer kwa kutumia Pili pili (kali sana) pamoja na kitunguu Thom Piliipili 2 kali sana – Africa itakuwa ni pilipili mbuzi, za Uganda. Chembe 2 za kitunguu Thom Njia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAKA NA DADA ZANGU WADAO WOTE WA BLOG! NAWASALIMU KWA MLIO WA HUZUNI NUKIOMBA MSAADA WENU WA HALI NA MALI. NMEKUWA NIKISUMBULIWA NA UGONJWA WA GHONOREA KWA MUDA WA MIAKA 3 SASA,NIMEKUNYA KILA AINA...
0 Reactions
34 Replies
10K Views
WANA JF NAWAKUBARI SANA KWA MAADA ZENU SASA HILI NAONA LITAKUWA LINAFAA SANA KWANI SASA IMEKUWA NI KAWAIDA YETU WANADAMU VIPI NANASI PORI LIMEKAAJE KAZI KWENU MADOCTOR WA JF TUJUZENI...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
WANA JF NIFAHAMISHENI HILI KWANI NAJUA KWAMBA PALE PATAMU NI HAPO AMBAPO BAADHI YA MAKABILA AU MILA HUWAGA WANATOA JE INAKUWAJE KTK MAMBO FULANI HUYU SI INAWEZA IKACHUKUA SIKU MZIMA KUENJOY MAMBO...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
DALILI ZAKE NI KUVIMBA TUMBO. HAMNA MAUMIVU YOYOTE WALA UVIMBE SEHEMU NYINGINE. MOYO UMEPIMWA UKO SAFI, KILA KITU SAFI.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Back
Top Bottom