Msaada wa ugonjwa sugu wa ghonorea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ugonjwa sugu wa ghonorea

Discussion in 'JF Doctor' started by wamoro, Mar 22, 2010.

 1. w

  wamoro Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAKA NA DADA ZANGU WADAO WOTE WA BLOG!
  NAWASALIMU KWA MLIO WA HUZUNI NUKIOMBA MSAADA WENU WA HALI NA MALI.
  NMEKUWA NIKISUMBULIWA NA UGONJWA WA GHONOREA KWA MUDA WA MIAKA 3 SASA,NIMEKUNYA KILA AINA YA DAWA ZA HOSPITALI BILA KUPATA SULUHISHO,NIKINYWA UGONJWA UNATULIA KWA MUDA UNARUDI TENA.NIMEPIMA VIPIMO VYOTE IKIWEMO HIV NIMEJIKUTA NIKO SALAAMA.
  NAOMBA MSAADA WA HALI NA MALI WADAU,NITUMIE DAWA GANI NYINGINE NIPONE? ZA HOSPITALI NI NYINGI NIMETUMIA NA NI BAADA YA KUFANYIWA CULTURE LAKINI WAPI.
  NIANDIKIENI PIA KWA kulwa21tz@googlemail.com
   
 2. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  eeh!pole mwanakwetu!!hope utapata dawa!hakikisha unatumia condom kila ukijamiiana sasa na hata utakapopona!!!
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Jee bado unaendelea na huyo binti ambaye anakupa ugonjwa huo?

  Ni lazima wewe na huyo mwenzako mupatiwe matibabu ndio ugonjwa utaondoka. Ikiwa unakwenda peke yako basi ukirudi utakuwa unajiambukiza tena.

  Mimi sio daktari lakini nakupa ushauri tu.
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Angalia red ndiyo maana hauponi
   
 5. w

  wamoro Member

  #5
  Mar 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 6. w

  wamoro Member

  #6
  Mar 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika msicha alieniambukiza tulienda wote hospitali na wote tukatibiwa na kwa sasa siko nae tena na siko kwenye uhusiano wowote wa mapenzi.
   
 7. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Fuatilia usafi wako hasa kuhusu nguo za ndani hakikisha zinafuliwa na dawa za kuulia vijidudu kama detol na kadhalika. Pia usirudie kuvaa nguo ukishaivaa hasa za ndani. rudia baada kama ya wiki mbili ukishafua. Pia usipende kuvaa chupi za mpira. Na mara nyingi usichanganye nguo zako na za watu wengine wakati wa kufua. Pia angalia sana unapoenda ****** kama ni choo cha kukaa hakikisha kina dawa za kuua vijidudu pia. Halafu endelea kunywa dawa uone kama utaendelea kuugua. Vinginevyo kama huponi basi itabidi wana JF tukemee.
   
 8. b

  bwanashamba Senior Member

  #8
  Apr 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia ndugu yangu usije ukakuta uyo demu alikua mke wa mtu
  kunakuaga na magono menine ya kimitego 'ila nakushauri onana na wataalamu
  wa magonjwa ayo watkufaamisha zaidi
   
 9. b

  bwanashamba Senior Member

  #9
  Apr 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia ndugu yangu usije ukakuta uyo demu alikua mke wa mtu
  kunakuaga na magono menine ya kimitego 'ila nakushauri onana na wataalamu
  wa magonjwa ayo watkufaamisha zaidi :angry:
   
 10. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WAMORO MKUU WEWE NI MWANAUME AU MWANAMKE?
  JINSIA YAKO SIIJUI HIVYO NITAKUCHUKULIA KAMA MWANAUME na maelezo yanaweza kubadilika kama wewe ni mwanamke
  Sasa naomba jibu yafuatayo

  [I]UGONJWA HUO ULIUPATIA NCHI GANI?

  Una uhakika gani kama ni ghonorea?
  Toa vithibitisho vifuatavyo
  Nitajie dalili unazokutana nazo kama ifuatavyo
  [a] Asubuhi unapoamka unaona kitu gani,kwenye uume?Unapokojoa mkojo unapotoka unaambatana na aina gani ya maumivu?[c]Wakati unafanya tendo la ndoa kipindi uko kileleni je hujisikia raha au maumivu?[d] Matongotongo kwenye macho vipi?yameongezeka au yamako kama kawaida?
  [e]Kama ni mnywaji wa bia je huwa unaona mabadiliko gani kwenye tundu la mkojo asubuhi ifuatayo baada ya kuamka?zingatia na vuta kumbukumbu zaidi kipindi kile unaposema kuwa umepotea
  1. Ulitumia test gani kuthibitisha kuwa ugonjwa ulinao nao ni ugonjwa wa zinaa
  2. Taja aina ya wadudu uliokutwa nao,tafahali andika jina la hao wadudu
  3. Ulifanya culture ipi?na ilikuwa sensitive kwenye dawa gani?
  4. Taja aina ya wadudu wa culture ya kwanza na ya sasa,na eleza utofauti wa sensitivity zao kwa antibiotics.
  5. Unasema unatumia dawa unapotea halafu unarudi?Unatumia dawa gani?naomba jina na dozi je ni sindano au vidonge?
  6. Pindi unapopetea umekuwa unathibitishaje kama umepotea
  TUANZIE HAPO KWANZA
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,455
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  hilo gono litakuwa la kutumwa umetiana na mke wa mtu kamwombe msamaha mwenye mali mapema
   
 12. r

  rito Member

  #12
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii inawezekana ulijamiina na mnyama. maana gono linalopatikana binadamu anapo jamiiana na mnyama haliponagi. Hili liko sana sana kwa wanyama kama mbwa.
  pole sana
   
 13. dorin

  dorin Senior Member

  #13
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nikisikia m2 anataja gono Enzi hizi za ukimwi mwili unanisisimka.

  wamoro kuna Dakitari hapo juu ningekushauri u-mpm nafikiri atakusaidia sana. pole sana my broda
   
 14. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nenda kaombewe kanisani. Mungu anaponya magonjwa hata leo hivi. kama umeshindwa kwenye madawa ya kidunia, Mungu hashindwi kitu. nenda kwa pasta, mweleze hali halisi, usimfiche, mwambie unatubu, hautaendelea kukaa kwenye uzinzi wa kutokuoa tena, ufunge ndoa, Mungu atakusamehe na atakuponya. Zaburi 103 inasema, akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote, that means, dhambi wakati mwingine huwa ni kizuizi kikubwa sana cha mtu kupona au kutoka kwenye tatizo fulani.

  Ukitubu dhambi ukaokoka, hapo ndipo utakuwa na haki ya kumdai Mungu promise aliyosema ya kuwa, akikusamehe maovu atakuponya na magonjwa yako yote. Kumbuka, katika isaya 53, Yesu alichubuliwa kwa maovu yetu, alimwaga damu kwaajili yetu, kwa kupigwa kwake sisi tumepona, who is those "sisi", wale tu wanaompokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao ndio wanaopata neema iliyoletwa na Kufa kwa Yesu, Yesu alimaliza yote, kilichobaki ni uamuzi tu wa mwanadamu kukiendea kiti cha rehema cha Mungu ili asamehewe maovu na aponywe magonjwa.

  Biblia inasema, njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha,(that means, kama hautaenda kwa Yesu hautapumzishwa mizigo yako) yaliyokushinda wewe Yesu anayaweza, madawa yameshindwa Yesu hashindwi kitu. it is your free will, democrasia ya Mungu, our God is always democrat, halazimishi mtu, ameweka mlango wa baraka na wa laana, changua kutenda mema upata baraka, ukitenda mabaya utapambana na laana. Hivyo, just decide today, jaribu, onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, hata kama bado mna wasiwasi, onjeni basi.

  NENDA KAOKOKE, OKOKA KIKWELIKWELI, JIUNGE NA KANISA LINALOHUBIRI WOKOVU, halafu angalia kama Mungu hatakufanyia kitu. I tell you, nimeona watu wengi wakibadilika kutoka kwenye magonjwa ya ajabu, wanapona kabisa, nimeshuhudia mengi. Mungu akusaidie uone ya kuwa, MUNGU ANAKUPENDA SANA, TENA SANA, HATAKI UUMIZE MOYO NA UO UGONJWA, NDIO MAANA YESU ALIKUFA KWAAJILI YAKO. But God can not do more than what he already did, alimaliza kila kitu pale msalabani, kilichobaki ni sisi kukisogelea kiti chake cha rehema, kusamehewa dhambi na kuponywa magonjwa.

  Inawezekana umeshaenda kwenye makanisa kuombewa tayari, kwasababu gono la miaka mitatu ni mingi, na ni hatari kwa kijana kama haujaoa, kwasababu moja ya magonjwa yanayoua kizazi kwa wanaume na wanawake ni gono, pamoja na syphilis. WAKATI MWINGINE UPONYAJI HAUWEZI KUJA KWASABABU WATU WENGINE WANAKUWA WANAFIKI, WANATAKA TU UPONYAJI LAKINI HAWATAKI KUOKOKA, kama hivyo Mungu atakuacha na tatizo hivyohivyo pengine ukiumia sana siku moja utamkumbua uokoke, wengine wanaombewa lakini wanaishi na mahawara, wengine walevi na hawataki kuokoka, sasa ukiwa unamwomba Mungu akuponye wakati moyoni haumtaki, Mungu atakuponya? ndo maana wengine wameombewa hadi wameota vipara, hakuna majibu.

  wengi wa waliopona hata kwenye Bible walikuwa wanamaanisha toka moyoni, kumwamini Mungu na kuambatana naye, hapo ndo utapona. lakini ukutubu,ukaamua moyoni kumfuata Yesu, yeye ndiye aliyekuumba, anaweza kukuumba upya. Nilisoma na jamaa mmoja, aliliwa kabisa kwenye jogoo lake, yaani kuna makovu mashimomashimo, na bila aibu, akiwa anaoga kwenye bafu za public, si unajua tena shule za bodi, yaani alikuwa anatia huruma.

  lakini kwa Mungu yote yanawezekana. wengi walikuwa na matatizo ya ajabu, lakini Yesu anasema kwa upole, njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha.
   
 15. G

  GodHaveMercy Member

  #15
  May 4, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Pole sana ndugu yangu! Huu ndio ulimwengu, una raha na machungu yake. Ningependa kuungana na ushauri uliopewa na wanaJF wenzangu hasa hasa huyo Mwana wa Mungu. Of course kwa asilimia ZOTE I believe in God, kwamba hakuna jambo linalomshinda. Hebu imagine, YEYE ndiye kaumba dunia, mbingu na kila kitu! So atashindwa kukuondolea 'kaugonjwa' kadogo tu kama gonorhea? Kwa uwezo wetu kibinadamu twaweza kusema ni ugonjwa 'sugu', but kwake (Mungu) ni kaugonjwa tu! Tumemuomba mambo magumu mangapi katusaidia? Itakua tatizo hili? Cha msingi kabidhi hili SUALA kwake yeye MUWEZA, then kuwa na IMANI. Zingatia rafiki yangu..! Ohooo! Good luck!
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli, kama madawa ya kibinadamu yameshindwa, Mungu aliyemkuu kuliko madawa, yeye aliyekuumba, aweza kufanya mambo yote. chukua ushauri wa huyo pasta mwana wa mungu. namfagilia sana uyu jamaa kwa pst zake zenye upako, na zinazogusa hadi ndani ya kumoyo.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nakushauri ufanye haraka sana uende pale muhimbili kuna taasisi ya tiba asilia kuna professor moshi, muombe appointment na akusaidie haraka; Pole sana, ila kwa jinsi ambavyo umekaa na muda huo na ugonjwa basi una hatari pia ya kupoteza kizazi na pia kuharibu kabisa viungo vyako vya uzazi
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  amekwmbia dawa za hospitalini zimeshindwa. umeelewa? akimbilie kwa Mungu tu.
   
 19. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Cheusi, usimpe ushauri kwanza yeye anatafuta tiba - ushauri as if unamlaumu kwamba hakutumia condom Yes ! lakini kwa sasa ushauri utamuumiza tutampa akishapona - inawezekana aliteleza tu that day akauvaa, pia nashangaa huo si ugonjwa serious nafikiri mwili wake una complicatians kadhaa. utapona tu ndugu yetu.
   
 20. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Kaka fuata ushauri wa De Novo na Bawa Bwana, nenda ukafanyikwe kitu kinaitwa Culture kwa Usahihi zaidi pale Muhimbili, kinachotokea ni kwamba kwa sababu sizizojulikana Bacteria hawafi au hawaishi kabisa wakati unatumia hizo antibiotic. Watakachofanya watakuchukua mkojo then wataviotesha vijidudu hivyo hadi viwe vingi, wataanza ku apply dawa mbalimbali hadi watakapotapa mixture kamili itakayowamaliza kabisa then watakupatia utumie.

  Hii huwa inatokea kwa baadhi ya watu hata kwenye magonjwa ya Malaria nk, so usiogope na pole sana ungekuwa umefanya hivi toka mwanzo ungemaliza tatizo siku nyingi.

  Jaribu kumweleza DK hapo muhimbili story hii, itamchukua chini ya siku 7 kujua combination gani ya dawa itawamaliza, ninaamini bado haijawa Clonic Ghonorea - Nakutakia mafanikio upone haraka wasikuogoshe wachangiaji wengine.
   
Loading...