Je huu ni ugonjwa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni ugonjwa gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kiranja Mkuu, Jun 2, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  DALILI ZAKE NI KUVIMBA TUMBO.
  HAMNA MAUMIVU YOYOTE WALA UVIMBE SEHEMU NYINGINE.
  MOYO UMEPIMWA UKO SAFI, KILA KITU SAFI.
  [​IMG]
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Ebu weka wazi zaidi tumbo linavimbaje? Kwa kiwango gani? Kwa muda gani? Wakati gani?
  Tukipata majibu ya maswali haya tunaweza kushauri au kugundua ni ugonjwa gani
  Otherwise Mpe pole anayeumwa:painkiller:
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tumbo linaongezeka ukubwa kila wiki hali inakuwa mbaya zaidi.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kama umepima kila kitu huko Hospitali na umepiga picha ya Xray? na kama umepiga pia picha ya Xray hawaoni kitu basi itakuwa ni mambo ya Kiuchawi huo sio ugonjwa wa kuweza kutibika Hospitalini jaribu kuwaona Wataalam wa Kienyeji wanaweze nao kukusaidia kimawazo.Pia waweza kujaribu Dawa hii Kuchemsha Tangawizi kavu (GINGER) chemsha pamoja na sukari kwa kiasi uwe unakunywa kwa kutumia Glasi tatu kwa siku kunywa kabla ya kula kitu itakusaidia kuondosha huo Uvimbe wa Tumbo.

  Au tumia pia hii Kammun(Cummin) Bizari nyeusi ya Pilau ni dawa ya Maradhi Mengi ikiwa ya tumbo pia inasaidia inatibu tumbo la kusokota tumbo la kuvimbana kwa wanawake wanaozidi Damu ya hedhi pia inasaidia kupunguza hiyo damu nahiyo dawa inasaidia kutowa wadudu tumboni (Minyoo) chemsha na maji unywe Glasi tatu kila siku kabla ya kula kitu uwe unatumia hiyo Dawa itakusaidia

  Dawa ingine hii inasidia Kuondosha Uvimbe wa Tumbo Upate Unga wa Habalsoda Au jina lingine (Nigella Seeds, or Black Cummin)
  Kiasi cha kijiko kimoja na kijiko cha unga wa Urkusus (licorice) hivyo vyote Utavichanganya na Juisi ya Pea iliyotengenezwa pamoja na Kokwa zake hiyo juisi kisha unywe utaona nafuu inshallah . ikikusaidia nijuulishe haraka. Give me feedback
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Very nice MM, asante
   
Loading...